Hukumu ya kupinga ubunge Arusha mjini

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
WanaJF, mwenye taarifa ya hukumu ya kesi ya kupinga ubunge wa kamanda Lema atujuze, maana leo ndo tar 4/04/2012 na sahizi ni jioni ya saa moja kasoro. Nimeona kimyaa, kimyaa hadi imekuwa kero au hukumu itafanyika usiku? wanaJf wa Ar town vipi? tupeni uptodates, tumechoka na tetesi.
 
Ndugu yangu naona wewe unaota ndogo za HUKUMU YA MHE. Lema. Kesho tarehe 05/04/2012 ndiyo siku ya HUKUMU. Usilale kesha ukimwombea ashinde
 
Wanaarusha wako tayari kesho maana magamba wameamua kumtosa mbunge Lema hatujui siku ya kesho kutatokea nini maana tumesikia wale askari wote waliokuwa Arumeru mashariki wako tayari kwa kupambana na nguvu ya umma kesho.
Mungu atuepushie balaa hili kesho Arusha.
 
Hatuogopi vita japo hatuvipendi tunajua jaji ashapewa rushwa kama ilivyokawaida ya magamba ila tumejitoa kunusuru jimbo letu hapatakalika endapo atashindwa wakati mwenendo mzima wakesi hiyo tunaujua ulivyokua kuanzia mwanzo mpaka hapa kesi yakizushi mashahdi wenyewe hawakua na msimamo katika ushahdi wao.tunawahakikishia ikiwahivyo ndipo watu watajua kua muhmili wa kwanza wa nchi ni raia arusha haitokalika nahuyo jaji itabidi alindwe na jwtz bila hivyo sijui ataish wapi.
 
kesho ni siku nyingine ya kuipamba arusha kwa ishara ya vidole viwili mithili ya herufi v.
Ni furaha kwa sababu watoto wadogo wanapata mafunzo ya peoples power angali wakiwa wachanga.
 
Asante mkuu Nyabwai, kumbe ni kesho tar 5! MUNGU yupo pamoja na Haki. Nina imani Kamanda ataibuka kidedea!
Ndugu yangu naona wewe unaota ndogo za HUKUMU YA MHE. Lema. Kesho tarehe 05/04/2012 ndiyo siku ya HUKUMU. Usilale kesha ukimwombea ashinde
 
Naombeni tusisahau muda wa kuwepo pale mahakamani ni saa mbili oo nusu juu ya alama bila ya kukosa!
 
Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.

Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo
 
Hatuogopi vita japo hatuvipendi tunajua jaji ashapewa rushwa kama ilivyokawaida ya magamba ila tumejitoa kunusuru jimbo letu hapatakalika endapo atashindwa wakati mwenendo mzima wakesi hiyo tunaujua ulivyokua kuanzia mwanzo mpaka hapa kesi yakizushi mashahdi wenyewe hawakua na msimamo katika ushahdi wao.tunawahakikishia ikiwahivyo ndipo watu watajua kua muhmili wa kwanza wa nchi ni raia arusha haitokalika nahuyo jaji itabidi alindwe na jwtz bila hivyo sijui ataish wapi.
Hivyo ni vitisho.Naona umeshahukumu hiyo kesi.Kwanini ujawe na wasiwasi juu ya hiyo kesi au unaamini kuwa Mh.Lema alitenda kosa analotuhumiwa nalo?Kama alitenda na ushahidi umemuunganisha na kosa basi hukumu lazima itambeba tu lakini kama hakutenda na ushahidi ulikuwa mwepesi basi kesi atashinda.Usiwe mtu wa kulalamika na kuleta vitisho kwani inawezekana haupo Arusha.
 
Wewe Majebere huna hata chembe ya akili ubongo wako umeganda kama nyama iliyowekwa kwa deep freezer,utasema sana kama Gamba mwenzio Nape aliyejitapa oooh tunachukua jimbo la Arumeru Mashariki then mkaangukia pua so na wewe jiandae hiyo kesho yatawakuta,kuwa na serikali sio ati hata Mahakama mtaiingilia kiivyo japokuwa nafahamu Bongo sheria zipo ila njaa inasababisha isifuatwe.So my Dia Majebere aka Gamba time will tell. Nakupa akiba ya maneno kesho ni beer kwa kwenda mbele kwani mpaka wenye matatizo ya kutoona hiyo kesho watakuwa wanaonyesha ishara ya V ndio hapo utajiharishia.
 
Msitishie vita jamani,hamna ubavu huo zaidi ya kelele za humu JF.Mheshimiwa rais alishasema hakuna risasi,tengue viuno tu,

Hili ndio lile DOLE aliosema zuberi.
 
Mi nashauri mahakama wamwache tu lema,elimu yenyewe ni ziro,sana sana atarudi kwenye biashara zake za ujambazi na kutesa wananchi.
 
Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.

Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo

CCM kuichukua Arusha ni ndoto ya saa tano asubuhi.CCM wanataka uchaguzi mdogo ili waibe hela ya serikali tu lakini hilo jimbo hata wakimsimamisha Mkapa, hawawezi kushinda
 
Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.

Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo

ndugu yangu una matatizo kwenye ubongo wako huwezi kuwa great thinker.
 
Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.

Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo
Ho old are you?
 
Back
Top Bottom