Hotuba Ya Mkapa ndio iliyowakosesha Ushindi CCM

Hotuba Ya Mkapa ndio iliyowakosesha Ushindi CCM

Sonara

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2008
Posts
726
Reaction score
71
Alishindwa kuwaeleza wananchi ukweli badala yake aliwaeleza CCM na serekali yake ilivyo saidia wananchi wa South Africa zimbabwe , jinsi gani tumewapa hifadhi hapa sasa mwanachi analilia na maisha yake ya siku zote wewe unajisifia jinsi ulivyomsaidia mtu wa mbali huku mwanachi wako anaishi maisha sawa na mnyama pori ?jamani
 
walikosea kumpa rais wetu mpendwa ukampeni wa mtu asiyeuzika
 
Vileo anavyokula Mzee Ben Lazima aseme maneno yale! Period!
 
CCM imechoka. Imekwisha, tutafute uongozi mbadala "Halima Mdee"
 
Yeye mwenyewe siyo msafi na amepoteza heshima mbele ya jamii ni bora angepumzika aiche ccm ijifiee yenyewe
 
Mkapa apumzike kama mtangulizi wake Mzee Mwinyi aepuke kampeni ndogondogo, kama pensheni si anapata? ya nini kujiabisha? Mbona kina Salim wametulia?
 
Back
Top Bottom