Siasa za Kenya na Jumuiya ya Africa Mashariki

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
682
323
Wadau heshima mbele,
Nimekuwa nikifuatilia siku za hivi karibuni siasa za kenya, nimegundua kwamba wenzetu hawa bado wana ugonjwa mkubwa wa Ukabila. Inakusudiwa kuwa ifikapo 2015 EA takuwa imeanzisha shirikisho la kisiasa, wenzetu Kenya bado wana ugonjwa mkubwa wa Ukabila Je hatuoni kuwa watatusambazia matatizo yao ya ukabila ikiwa tutakubali political federation?GEMA, Kalenjini! unaweza kuona hapa GEMA and Kalenjin Strategy Meeting - YouTube
 
Sijaifungua hiyo u tube isipokuwa niharakishe kusema hilo kusudio la kuwa shirikisho la kisiasa (political federation) halitekelezeki hiyo 2015 hata 2020
 
Back
Top Bottom