Ushindi wa chadema si wa bahati mbaya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa chadema si wa bahati mbaya...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Apr 4, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ushindi wa CHADEMA pale Arumeru umekuwa gumzo.Waonekana kama goli la kujifunga.Si hivyo.Ni ushindi wa sera dhidi ya hela.Ni ushindi wa ukombozi dhidi ya ujambazi na matanuzi.Hakuna sababu kuu zaidi ya kizazi cha Tanzania kuhitaji mabadiliko.Muda ndio huu.Yatasemwa mengi sana;CHADEMA inachaguliwa na watanzania wenyewe..
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mm livingstone lusinde sikubaliani na wewe KUDADADEKI....!
   
 3. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Chadema mwendo mdundo!
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wewe na yeye mnatofauti gani sasa
   
 5. P

  PATRICE LUMUMBA Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ushindi wa nuru na matumaini dhidi ya giza na ushirikina,uchu wa madaraka na ukuu,uroho wa wachumia tumbo na mirija yao migongoni mwa wavujajasho.Ni ushindi uliodhihirisha mwanzo dhahiri wa kukata mirija ya kinyonyaji.
   
Loading...