Kazi sio kufanya kazi, kazi kupata kazi Sioi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi sio kufanya kazi, kazi kupata kazi Sioi.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Chokler, Apr 4, 2012.

 1. C

  Chokler Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mjomba (Sioi) natanguliza pole na samahani zakutosha sana kwako mjomba nasikitika sana kila nikiamini kwamba uliacha kazi ili uje kupata kazi ikadunda sasa una kazi ya kutafuta tena kazi kwasababu the mission is failled.
   
Loading...