Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi wadau najiuliza siku kipyenga kinapulizwa A-Town....MAGAMBA watavuna nini jesh hili likitua Arachuga?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mjadala wa Leo utaangazia namna vyombo vya habari vilivyoandika taarifa za UCHAGUZI mdogo wa Arumeru na nafasi ya vipashio habari mbadala JF pamoja na blog nyingine Kama mjengwa, fullshangwe na...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Wakuu ninaelekea Moshi hapa usa river nimekutana na basi la polisi likitokea Moshi kwenda Arusha limesheheni polisi wengi waliovalia kiraia. Huu ni uoga wa Ccm kuhusu mkutano wa leo wa Cdm
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nasikia kuna maspika makubwa yanapitisha mji wa ARUSHA yakiwa yamerekodiwa sauti ya aliyekuwa mbunge wao Godbless Lema akihamasisha kesho kutakuwa na mkutano wa kiuanaharakati kuanzisha mapinduzi...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Wanajamvi nimeona kupitia jamvi hili niwasaidie wana CCM walau kutambua chanzo cha anguko lao. Hii ni baada ya utafiti ambao ninaendelea kufanya lakini nimeona ni vema niwalete sehemu hii ya...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Hayawi hayawi na leo bado kidogo yanakuwa, baada ya William Malecela @ New York City kupita vihunzi vya awali katika kugombea ubunge wa Afrika mashariki, na hivyo amebakisha kihunzi cha mwisho...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Baada ya mahakama kuu kutoa hukumu na kuamuru uchaguzi kurudiwa ndani ya siku 90 swali linakuja je magamba watamsimamisha nani kuweza kukabiliana na CHADEMA..??? wakuu heb tupieni hayo majina...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Mswada wa sheria ya utalii jana umepita kwa tabu baada ya wajumbe kutofautiana juu ya mswada huo kuhusu suala la upendelezo la ajira kwa wazanzibari. Wakati wajumbe wasiokuwa mawaziri...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa utaratibu huu wa sasa wa rais kuteua majaji kwa kadri inavyompendeza tutaboomoa mfumo wa sheria nchini. Wakati umefika majaji wasiteuliwe nje ya mfumo wa kimahakama! Kwangu uwakili na uhakimu...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
mf igunga na arumeru mash
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Imeandikwa na Maregesi Paul | Dar es Salaam Thursday, April 05, 2012 UCHAGUZI wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa upande wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeingia doa. Chanzo chetu cha...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Wana JF. Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi.. Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema...
2 Reactions
163 Replies
12K Views
Hi JF Members. Mkulu ndo huyo keshaunda Tume ya Katiba. Fikra zetu wakati huu zisiwe tena kuijadili tume bali kujiandaa kuipa majukumu. Ndiyo maana nafungua peji hapa chini. Ili tuendelee...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Vyombo vya habari hasa vinavyoendeshwa kwa kodi zetu, yaani TBC 1, DAILY NEWS, HABARI LEO NA TBC FM, havitundei haki. Vyombo hivi ni ukweli usiopingika kuwa vinafanya kazi kwa maelekezo na maslahi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Swali hilo limenisumbua kwa takribani wiki sasa. Nimependa tuwaze pamoja: Nani walipiga kura Arumeru Mashariki? Je ni wavivu wa kufikiri? Swali hili lina mahusiano makubwa na kauli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
State has removed my security detail, says ex-Chief Justice In a revelation which left many people surprised the immediate former Chief Justice, Mr Augustino Ramadhani, said yesterday that...
1 Reactions
87 Replies
10K Views
Fare well thee Bingu wa Mutharika Bingu, Bingu wa Mutharika I know you were a mortal being Weak as you were Now it's time for others and me Time to forgive whatever you erred Time for looking...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Wakuu naona ni kama sasa hivi tunaelekea upande wa kuchezea demokrasia hapa Tanzania. Mambo yanayoendelea yafanya nchi yetu ionekana kama kundi la Pwagu na Pwaguzi. Hivi ni kweli tunaendesha nchi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo siku nzima nimefanya kazi ya kutafuta maoni kwa watawala wetu na baadhi ya majaji wazoefu, walio kazini na wastaafu. Maoni ya wengi katika niliongea nao ni kama hivi ifuatavyo: -Mchezo mchafu...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi kauli ya ni keri kuchagua jiwe kuliko kuichagua CCM imekuwa mwiba maana imesambaa kwa kasi sana na kuwa kampeni tosha kwa CDM!!!!! Mlio Arusha ni mashahidi wa hilo, kila unayemuuliza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom