Serikali yaondoa ulinzi nyumbani kwa Jaji Mkuu mstaafu A. Ramadhani

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
State has removed my security detail, says ex-Chief Justice

In a revelation which left many people surprised the immediate former Chief Justice, Mr Augustino Ramadhani, said yesterday that the government withdrew security details for his home only two days after he left office last year.Speaking in Dar es Salaam yesterday, Mr Justice (rtd) Ramadhani said that was contrary to regulations regarding benefits that go with the post he held since his appointment in 2007.

Speaking before the minister for Home Affairs, Mr Shamsi Vuai Nahodha, and the Inspector General of Police (IGP), Mr Said Mwema, the retired CJ sorrowfully revealed that the security personnel taking charge at his home were removed barely a day after his official retirement on December 28 last year.

Mr Justice Ramadhani said he was surprised a day after his retirement when he came home with a friend to find there was no security guard as usual. "By then I was not informed of any changes and I was not expecting any," he said."When I sought to know what had happened, one of the police officers told me that they had been ordered to stop guarding my home a day before," he said sadly, leaving his audience in dismay.

The retired Judge was presenting a paper at the launch of celebrations to mark the 50th independence anniversary of the Kurasini Police College which go hand in hand with the 50th anniversary of Tanzania Mainland's independence.

However, Mr Justice Ramadhani said he did not tell anyone as "no one among the concerned officials does not know the entitlements of a retired Chief Justice". Turning to the IGP, he told him: "I want you to forgive me, first for breaking this information to you under such circumstances, if you did not know, but also for not letting you know. This is the first time I am saying this."

He went on to say: "Being also a retired army officer together with my wife, we decided that we will take care of the security ourselves… thereafter we hired some Maasai men to be in charge of the security of our house.
"I'm not saying this so that you take anybody to task, but I want people to know what happened to a retired Chief Justice, what about the common mwananchi?" he queried.

Records show that the former CJ retired from the army with the rank of Lieutenant Colonel while this paper could not immediately identify the rank which his wife was having at the time of her retirement.

Mr Justice Ramadhani, also a former Attorney General of Zanzibar, said he later decided to hire a private company to take charge of security at his home. "I have contracted KK Security for the security of my house and I pay the company Sh400,000 a month from my own pocket," he said.

The retired CJ was presenting a paper on the importance of abiding by the law without being forced to do so. He said he wondered what had gone wrong with the police force and the government in general since the issue of benefits was clearly stipulated in the retirement regulations.

In his presentation, he said it was important that everyone, especially the law-enforcers, to work in accordance with stipulated laws without fear or favour."You should not be cowed because the law is not selective…you need also to be honest," he stressed.

When The Citizen later sought to know whether he knew the reasons for the security withdrawal, he said in a phone interview that he had no idea and that he hoped the decision had no malice. "You were there and you heard what I said… the regulations are clear, you can make an analysis whether what has been done is according to the law or not… but that is the situation," he said curtly. Mr Nahodha could not be reached later to comment on the issue as his phone was switched off while that of his deputy, Mr Hamis Kagasheki, was not picked.

When this paper called IGP Mwema, he also switched off his phone immediately after this reporter introduced himself.

Chanzo: The Citizen
 
Magamba wameanza tena kumcharaza - a la Tido Mhando, lakini huyu si aliwasaidia sana tangu alipokuwa katika NEC (Tume ya Uchaguzi)? Pia aliwasaidia sana kule Zanzibar katika kuihujumu ushindi CUF mara 3 alipokuwa makamo m'kiti wa ZEC. sasa leo inakuwaje?

Lakini kikubwa kabisa ni pale alipotoa hukumu kuhusu wagombea binafsi, hukumu ambayo iliwaacha magamba na kicheko kikubwa, ama sivyo leo hii wangekuwa wana wabunge wa kuhesabu Bungeni.

Lakini navyosemekana ni kwamba amewahi kusikika akitamka kwamba hukumu ile ilikuwa shinikizo kubwa kutoka kwa utawala wa JK.
 
hili ni kubwa sana former chief justice hana ulinzi wa polisi
mjhh kuna mengi yapo ila yanafichwa chini ya carpet
 
Jamani, Hawa Ngulume aliyekua Mkuu wa Wilaya Kinondoni awe na ulinzi na kulipiwa hadi wapishi halafu kwa Jaji Mkuu Mstaafu ishindikane wakati hizo hizo kodi zetu zinafujwa kwenye safari zisizokwisha na ufisadi kila kukicha?????????????????

Ulinzi wa huyu kiongozi mwema tuliyewahi kuwa naye katika medani ya sheria nchini irejeshwe mara moja pamoja na mafao yake stahiki mengineyo. Serikali pia iende kule Ukonga na ikamfanyie hivo hivo Timotheo Apiyo badala ya kusubiri kutoa tu michango kibao na kumiminiwa misifa lukuki siku akiaga dunia.
 
Kisasi cha Kikwete; Augustino Ramadhani alikataa, baada ya kuombwa informally ni Kikwete, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kuratibu Maoni ya Kunadika katiba Mpya.

Mbwa kishaungua mkia, humwoni tena akikaribia mekoni!
 
When this paper called IGP Mwema, he also switched off his phone immediately after this reporter introduced himself

Na hiyo niliyoi-highlight maana yake nini? Huyu IGP si alilazimisha wakuu wote wa polisi wa mikoa (Ma-RPC) kutangaza namba za simu zao na kuwa wawazi katika utoaji wa habari?

Atamzimiaje simu muandishi wa habari? Je, kama angekuwa na habari za uhalifu mkubwa au watu fulani kutaka kupindia nchi?
 
Huyu jamaa keshastaafu ulinzi wa nini tena? Na apewe ulinzi mpaka lini? Ni jaji mkuu mstaafu for godsake na siyo waziri mkuu, makamu wa raisi, au raisi mstaafu.

Hatuwezi kuwapa ulinzi wa milele watu wengi hivyo wakati rasilimali tulizonazo ni chache.
 
Tanzania ni full comedy na huu utawala wa Kikwete balaa tupu. Nafikiri hajawahi kutokea na naomba Mungu asijetokea Rais mbovu na aliyejaa visasi kama Kikwete katika nchi hii.
 
Na hiyo niliyoi-highlight maana yake nini? Huyu IGP si alilazimisha wakuu wote wa polisi wa mikoa (Ma-RPC) kutangaza namba za simu zao na kuwa wawazi katika utoaji wa habari?

Atamzimiaje simu muandishi wa habari? Je, kama angekuwa na habari za uhalifu mkubwa au watu fulani kutaka kupindia nchi?

Huenda kiselula kilíshiwa chaji.
 
Huyu jamaa keshastaafu ulinzi wa nini tena? Na apewe ulinzi mpaka lini? Ni jaji mkuu mstaafu for godsake na siyo waziri mkuu, makamu wa raisi, au raisi mstaafu.

Hatuwezi kuwapa ulinzi wa milele watu wengi hivyo wakati rasilimali tulizonazo ni chache.

Mkuu kumbuka katika rank za viongozi kuwa ni Rais, makamu wake, Waziri Mkuu, Speaker na Judge Mkuu. Iwapo rais na makamu wake na waziri mkuu hayupo au na speaker hayupo anayeweka kukaimu urais ni Judge Mkuu.

So anastahili kwa mujibu wa sheria kupewa ulinzi baada ya kustaafu mpaka atakapokufa.

Usimshushe judge mkuu
 
hili ni kubwa sana former chief justice hana ulinzi wa polisi
mjhh kuna mengi yapo ila yanafichwa chini ya carpet
...Ah! Acheni bana ake hivyo hivyo kwani sie tusiolindwa na mabunduki hatuna minofu na damu?
 
Huyu jamaa keshastaafu ulinzi wa nini tena? Na apewe ulinzi mpaka lini? Ni jaji mkuu mstaafu for godsake na siyo waziri mkuu, makamu wa raisi, au raisi mstaafu.

Hatuwezi kuwapa ulinzi wa milele watu wengi hivyo wakati rasilimali tulizonazo ni chache.

Mkuu elewa kua huyu ni mtu mkubwa sana so its better akawa na usalama aisee
 
Mkuu kumbuka katika rank za viongozi kuw ani Rais, makamu wake, Waziri Mkuu, Speaker na Judge Mkuu. Iwapo rais na makamu wake na waziri mkuu hayupo au na speaker hayupo anayeweka kukaimu urais ni Judge Mkuu
So anastahili kwa mujibu wa sheria kupewa ulinzi baada ya kustaafu mpaka atakapokufa
Usimshushe judge mkuu

Kwa mujibu wako huyu kwenye line of succession ni wa tano! Sasa tumpe ulinzi kwa maisha yake yote yaliyobaki hadi atakapokufa? Hapana bana mimi napinga kabisa hilo.

Wamarekani wenyewe siku hizi hawawapi maraisi wao wastaafu ulinzi wa milele. Kwa sheria yao sasa wanapewa ulinzi hadi miaka 10 baada ya kustaafu na baada ya hapo watajiju. Na utaratibu huu umeanza kwa Clinton kama sikosei. Sasa kama taifa tajiri kama Marekani (well, ukiondoa Israel ambayo ndo super power pekee duniani) haliwezi kuwapa ulinzi wa milele maraisi wastaafu kwa nini sisi tuwape ulinzi wa milele hawa majaji wakuu wastaafu?

Ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi walalahoi!
 
Tusichokubaliana hapa ni kimoja
Sheria za marekani kzimesema hivyo ni baada ya miaka kumi
hapa kwetu sheria inasema ni mpaka atakapokufa
So tusifanye kitu ambacho hakipo na hakisemwi kisheria kwa upande wa judge mkuu na kama wameamua iwe hivyo ianzie kwa jusge mwingine mstaafu Barnaba Samatta na sio iwe kwake tuu na kama sheria ilipelekwa bungeni kusema kuwa hawatapewa ulinzi ijulikane ila sio kuondoa tuu kimya kimya
 
Hebu niwekee hapa hicho kifungu cha sheria nami nikisome.
 
Kwa waliofanikiwa kupata nyadhifa kubwa ktk serikali hii legelege
ni vyema mkajua kuwa bora kuwatendea haki wananchi mtakumbukwa
kwa mema milele kuliko kukumbatia dhuruma ya kitambo ambayo itato
nesha mioyo yao na yenu milele.
 
Back
Top Bottom