William Malecela @New York City ubunge East Afrika unabisha mlangoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

William Malecela @New York City ubunge East Afrika unabisha mlangoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Apr 6, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hayawi hayawi na leo bado kidogo yanakuwa, baada ya William Malecela @ New York City kupita vihunzi vya awali katika kugombea ubunge wa Afrika mashariki, na hivyo amebakisha kihunzi cha mwisho kupita bila kupingwa kuwa Mbunge kupitia mgongo wa babake chama cha CCM. Hii itajithihirisha tulichaokuwa tunaongelea hapa mara nyingi mbio za CCM kupokezana vijiti kutoka babu, mtoto na hadi mjukuu kuachiana nafasi. Ingwa kule Arusha safari hii wamewashtukia hadi mkwe wa Lowasa kuangukia pua aka mwanguko wa Mende.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  MKUU,
  Siku hizi amekuwa mtu mzima bana, hataki majina ya aina hii tena!...Uheshimiwa una gharama zake!
  Sasa sijui akiangukia pua atayarudia majina haya?
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  asiende kuropoka kama lusinde
   
 4. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hana nidhamu huyu mtu hapendi kukosolewa kabisa jana nlimwambia fb acha kuuza sura kama wanamuziki wa bongo fleva baada ya ku upload picha yupo na j.k eti akanibrock
   
 5. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  janga lingine la kitaiefa
   
 6. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli watz ni waajabu sana, hivi inakuwaje mtu anaishi nchi nyingine tena nje kabisa ya ukanda wa afrika mashariki eti anakuja kugombea ubunge wa kanda hiyo.
  Hapa ni dhahiri kilichomlete na kumsukuma kufanya hivyo ni ulaji tu wa kuchumia tumbo. Anajuaje matatizo yetu wakati yeye anaishi abroad? Kweli tutaburuzwa hadi hapo mwenyezimungu atakapo weka mikono yake kwetu kwa kutulinda na hawa maadui zetu wanaotaka kututawala milele.
  Hata aibu sasa hawana yaani wanachojua ni kutunyonya na kutudhulumu haki yetu. Eeh mwenyezimungu angamiza hiki kizazi dhalimu kinachotufanya sisi majuha na kutuonea kiasi hiki. Mungu shusha adhabu yako kali kwa watu hawa ili utuweke huru na uonevu tunaofanyiwa. Mungu baba pokea maombi yetu kwa kuwa ni wewe tunayekuabudu. Amen!
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Akipata ubunge atakuwa William@EAF
   
 8. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  waacheni wafu wazike wafuwao jamani amjui ccm ni maiti watarajiwa??
   
 9. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Huu ni wakati wa mabadiliko na ingekuwa uamuzi wa busara kwa CCM na makada hata wakereketwa kuamua kubadilika kwa kumaanisha kuweka mawazo mapya, majina mapya, sura mpya n.k ambazo pia zinadhihirisha social mobility in relation to social classes.
  Hawa watoto wa vigogo wana opportunities nyingi tu zaidi ya siasa katika maisha yao, na moja ya sababu zinazosababisha chuki ya wananchi wa kawaida wenye akili nzuri dhidi ya CCM ni chama kufanywa cha kifamilia, kibiashara na kirafiki zaidi.
  Ni ukweli usiopingika kwamba William na wengine wana haki ya msingi kabisa ya kugombea, ila ingekuwa busara kwa faida ya chama na wao binafsi kutulia katika kipindi hiki cha mnyukano ndani ya chama (makundi hasimu) na pia nje ya chama (upinzani wenye hoja zinazogusa jamii moja kwa moja)
  Jambo kubwa kuliko yote kwa sasa ni kwamba, jamii ya watanzania inahitaji mabadiliko ya kuwakomboa walalahoi ambao ni wakulima na wafanyakazi wa tabaka la chini, viongozi walio madarakani na wastaafu ikiwa ini pamoja na familia zao, hawana na hawawezi kuwa na mawazo hayo kwa sababu walishajitenga siku nyingi kivitendo!
  Ni muhimu sasa kwa CCM kubadilika kwa kuweka mawazo mapya na watu wapya ambao watakuwa watiifu kwa chama na serikali badala ya kuendeleza dhana ya huyu ni mwenzetu!
  Siyo rahisi kumfundisha mbwa mzee sheria mpya!
   
 10. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  nchi ya kifalme hii
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kimsingi sioni hoja yako hapa zaidi ya chuki binafsi....
   
 12. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha ha sasa wewe utapelekaje utani wa ukweli kule? wenzako hawataniagi mambo ya ukwlei wanatania mambo ya uongo
   
 13. c

  chilljuice Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni sikio la kufa halisikii dawa, nashindwa kuelewa sijui wamelogwa....!? Yaani hawaoni kwamba haya mambo ya kujuana yanawaangamiza sa huyo Makongoro Nyerere anapeleka nini jipya huko? Hii Malecela Boy nayo haijui lolote kuhusu maisha ya mtanzania wa kule kijijini anahitaji nini na changamoto zipi zinazo mkabili ili EAC imsaidie kujiondoa katika maisha ya tabu eti nae wanampitisha na wabunge wa CCM nao wamejaa woga watampatia kura! Nahama CCM walah!
   
 14. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Msifikirie kuwa hawa wabunge wa ccm ni wajinga kiasi hicho; hawa wabunge wanajua kuwa huyu William baba yake na mama yake wa kambo wana zile hela za EPA alizowahi kutueleza Sophia Simba, hivyo basi ili nao wazile hizo hela ndio maana wakampitisha ili asonge mbele na wazidi kuzila hizo fedha na watakapofika kule bungeni ndiko watakakomchinjia baharini na huku mshiko wamepata!! Kule bungeni huyu mbeba box kupita itakuwa sawa na Serengeti boys kushinda premier league ya uingereza!!
   
 15. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35

  Wabunge wa CCM watampitisha Le MUtuz kwani anamvuto hasa ''umbo lake'' na ile wanayoita ''american english men''.Jamaa ni mjanja alipotua bongo alikutana na wabunge kibao pale Dodoma kama alivyosema hapa janvini.

  Kifupi hawawezi kumtosa bye bye Le Mutuz Baharia Big Show naona umecheza vyema tayari kupambana na kibajaji hapo Mtera 2015.
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Inahuzunisha kwa kweli.:disapointed:
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Gaijin,

  nimecheka kweli....acha majungu mtu wangu.
  Kuhusu Willy na akina Shy-rose nilishaandika.Tuwaunge mkono.Nilaindika sana kwenye ile thread nyingine pamoja na kutukanwa sana.Naendelea kuomba tuwaunge mkono watu ambao wanweza kuwakilisha mawazo yetu EAC .tutangulize maslahi ya taifa mbele

  Asante, ila mkuu una utani mbaya sana !You have made my day.....
   
 18. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyu alifaa kwenda mtera kugombea jimbo ambalo liko wazi . Kilaza yule memory yake full matusi hana anchofanya
   
 19. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Tutaendelea kusikia waheshimiwa Malecela,Makamba,Nauye...............mpaka vilembwe wakina yahetutasubiri sana
   
 20. D

  Deo JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hivi ile avatar ya William Malecela ni ya nani? Mbona nitofauti na sura yake?
   
Loading...