Kwa mtindo huu uhuru wa kweli wa mahakama upo wapi?

YanguHaki

Senior Member
Oct 11, 2010
129
9
Kwa utaratibu huu wa sasa wa rais kuteua majaji kwa kadri inavyompendeza tutaboomoa mfumo wa sheria nchini. Wakati umefika majaji wasiteuliwe nje ya mfumo wa kimahakama! Kwangu uwakili na uhakimu ni vitu viwili tofauti japo wote ni wanasheria. Mmoja amebobea kutoa haki na mwingine kudai haki!
Mahakimu wanaandamizi ndio wapandishwe kuwa majaji na si vinginevyo kama baadhi ya nchi nyingine kama vile Pakistan. Hii itahakikisha kuwa na majaji wenye uweledi mkubwana wenye kufanya maamuzi ya haki!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom