Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Oct 19, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wana JF.
  Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

  Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

  CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

  Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

  Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

  Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

  Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23
   
 2. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,824
  Trophy Points: 280
  We need to have a common definition ya nguvu ya umma, you might be arguing on a point which is has no common base to both parties. Kwanza tuwe na definition moja, then tuangalie kama falsafa ya chadema ya nguvu ya umma in characteristics hizo. vinginevyo you have no basis to support your contention above.
   
 3. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mimi nilidhani wana wabunge 48..
  Kumbe mmewapunguza wamebaki 23!!
  hii imetokea lini mkuu???
   
 4. R

  Real Masai Senior Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo mandazi anajadili hoja gani isiyokuwa na kichwa wala shingo.....lete hija zinazojadilika humu jamvini...kama haja ni nguvu ya umma namba wadau watoe dfn ili awe na wigo wa kufikiri c kukurupuka na pili, mbna hoja ya wabunge sijaielewa..wadau nielimisheni
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hivi tukianza kukujazia non-sense bado utasema tumechangia thread yako?
  Ritz, be realistic my brother!
   
 6. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unauhakika kwamba Chadema, CCM na vyama vingine walishinda kwa kiwango gani? Mimi nawewe tuliambiwa hivyo na tume ya Taifa ya uchaguzi iliyo na watu Kama Rajabu Kiravu waliowekwa pale na Mgombea wa CCM. Hata hayo majimbo 23 Chadema wayashukuru sana maana wangeweza kupewa chini ya hapo na hii Tume. Ritz mimi na wewe tunatakiwa tupate katiba mpya ambayo itapelekea kuwa na Tume huru ya uchaguzi hivyo tutashudia uchaguzi huru na wa haki siyo lazima upelekee ushindi kwa CHADEMA.
   
 7. Also me

  Also me Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sry, ww ni mkazi wa bara au visiwan?!...
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  igunga ccm waliiba kura 26000,chadema wakapata 23000 kwa mujibu wa tume yenu.
  sasa unchopinga ni nini?
  pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz.
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba unitajie majimbo ya uchaguzi walioshinda ubunge CDM
   
 10. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Pia idadi ya wabunge sio kigezo sahihi cha ku criticize kwamba CDM ni nguvu ya umma au la.
  Cha kumkumbusha mtoa mada hii ni kwamba hata Mbuyu ulianza kama mchicha kwa hiyo hiyo ni nadharia ya mwanzo kwamba kila kitu kina mwanzo wake.

  Au mwenzetu alijikuta tu mkubwa, yatakuwa maajabu na ushabiki wa chama anachokipenda.
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nakuhurumia sana.Umepewa shilingi ngapi kwa upupu huu ulioleta hapa jamvini? Huoni aibu? Mods please thread kama hizi hazina nafasi hapa jamvini.Tujadili mambo ya msingi.
   
 12. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,802
  Likes Received: 2,749
  Trophy Points: 280
  Ritz, Mbona pumba hivyo? Hivi CCM kinakubalika zaidi ya CDM? Huhitaji ubongo mkubwa kuliko ubongo wa kuku kuona kuwa CDM imefanya makubwa ambayo sasa CCM inabidi iyakubali kwa NGUVU ya UMA. Je unafahamu kuwa mabadiliko ya katiba haikuwa sera ya CCM bali ya CDM? Sasa CCM wameivalia njuga. Mbona ni rahisi tu kuelewa mkuu? Hebu tumia ubongo wako ambao nina uhakika ni mkubwa kuliko wa kuku. Ooops mara nyingi ubongo mkubwa waweza kuwa tupu eh!
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Acha kulilia kwa Mods: jenga hoja JF sio ya CDM..nguvu ya umma ni wabunge 23?
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  vipi sera ya kuvuana magamba mnaendelea nayo?
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuchagua raisi ni kitu kimoja na kuchagua mbunge ni kitu kingine.

  Pamoja na kazi nzuri sana iliyofanywa na NEC kwa kushirikiana na TISS bado utaona kuna majimbo wananchi wamechagua mbunge wa ccm lakini raisi wakamchagua Dr. Slaa au Prof. Lipumba na vivyo hivyo kuna majimbo wamemchagua mbunge wa chadema/nccr/cuf lakini raisi wakamchagua JK.

  Hili ni jambo ambalo liko wazi kabisa na wewe ritz unaelewa ukweli huu kwa kuwa akili ya kuelewa ukweli huu unayo isipokuwa umeponzwa na kitu kimoja tu, kuuza uhuru wako kwa ccm kwa ujira wa buku mbili kwa siku.
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Naomba mwana CDM yoteyote mwenye data za ushindi wa urais wa CDM tuwekeeni tujadili..

  Tujue Dr. Slaa alipata kura ngapi za urais
   
 17. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Baba yako JK, CDM inampa presha itakuwa wewe?
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  weka kwanza hapa jamvini mgogoro kati ya Nape na Millya umefikia wapi.
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  unachekesha sana mpaka leo NEC wamegoma kuyaweka mtandaoni matokeo ya kura za urais, wanaogopa kuumbuka maana matokeo yao ni yale yaliyochakachuliwa na CDM wanayo yale ambayo ni Hardcopy yaliyisainiwa na mawakala vituo vya kupigia kura.
  HOJA YAKO HAINA MSHIKO
  Kama sio NEC, JK angekuwa raia au angebaki mwenyekiti wa CCM tu.
   
 20. HT

  HT JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sounds like zawadi ngoda
   
Loading...