Jicho letu ndani ya habari rfa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho letu ndani ya habari rfa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Havizya, Apr 7, 2012.

 1. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Vyombo vya habari hasa vinavyoendeshwa kwa kodi zetu, yaani TBC 1, DAILY NEWS, HABARI LEO NA TBC FM, havitundei haki. Vyombo hivi ni ukweli usiopingika kuwa vinafanya kazi kwa maelekezo na maslahi ya ccm. Inauma sana kwa vyombo hivyo kutumika kwa namna hiyo.
   
Loading...