Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Wakuu naona ni kama sasa hivi tunaelekea upande wa kuchezea demokrasia hapa Tanzania. Mambo yanayoendelea yafanya nchi yetu ionekana kama kundi la Pwagu na Pwaguzi. Hivi ni kweli tunaendesha nchi kwa kutumia akili zetu? au tunaiga tu kwa kuwa Ulaya wanafanya hivi na vile, bila kujali mazingira yetu yakoje.
Ni kweli tunahitaji chaguzi ndogo in the current form? Isn't there any other smarter way of getting a person to fill the post when the constituent is vacant for whatever reason may be? Sure there is
Suppose tunakuwa na chaguzi ndogo ishirini, thelathini or let's say 50. Maana hatuna utaratibu wa ku-screen afya za wagombea ubunge ili kujua kama wako fit kuwa wabunge kwa miaka mitano au la, kwa hiyo kimsingi la wabunge wetu kupoteza maisha linaweza kutokea. Suppose Mungu anawachukua 50 kwa mwaka, who will pay for all those by-elections? Au by elections za sasa ni nani anazilipia, fungu hilo lilitoka wapi na lilitengwa lini?
Leo tumeona habari kuwa Ikulu imekanusha kwamba haina mkono katika kumtoa Lema bungeni, let is try to believe that. Lakini je mchezo wa watu wa juu kuamua nani awe mbunge na nani asiwe mbunge, unaweza kutuletea kina Nassari wangapi, na kukitafuna chama tawala? Au Kushindwa kwa Siyoi revenge ndio Arusha, kumuondoa Lema? OK, fine. But who is paying for it?