Police kusimamisha shuhugili za kimaendeleo kwa sababu za kiusalama,wananchi husika wametendewa haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police kusimamisha shuhugili za kimaendeleo kwa sababu za kiusalama,wananchi husika wametendewa haki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by loita, Apr 8, 2012.

 1. l

  loita New Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchiwamezuiwa kufanya shuhuli zinazowapatia kipato cha kila siku na kunyanganywavitendea kazi vyao kwa sababu za kiusalama ikiwa ni pamoja na kutopatikana kwa silahaya askari police aliyeuwawa.silaha hiyo na risasi kufananishwa na simba 60walioachiwa uraiani.
  Maswalininayojiuliza
  · Wachimbaji wote ni majambazi?
  · Nini kazi ya police?
  · Mathara ya kuwazuia kuchimba yamefikiriwa kabla ya kuwazuia?
   
Loading...