Mkutano wa Mnyika Manzese. Haya ndiyo magari wanayopaswa kutumia wabunge

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Mkutano wa CDM hapa Manzese nimefurahishwa sana na aina ya gari alilotinga nalo Mnyika mkutano. Toyota Vits T341BEN. Edapo wabunge wa CCM nao wangetumia hizi gari. Barabara zingependeza sana.
 
Mkutano wa CDM hapa Manzese nimefurahishwa sana na aina ya gari alilotinga nalo Mnyika mkutano. Toyota Vits T341BEN. Edapo wabunge wa CCM nao wangetumia hizi gari. Barabara zingependeza sana.
Sasa ulitemegea aende na gari gani pale manzese? Kaogopa kuibiwa.
 
Of koz ana Nissan Hardbody pia,ila uwa haitumimii mara kwa mara!
 
Amezungumzia kwa kina kuhusu tume ya katiba, amesema kesho atatoa taarifa katika vyombo vya habari na kuanisha kwa nini CDM hawatapongeza uteuzi wa tume hiyo.
 
Of koz ana Nissan Hardbody pia,ila uwa haitumimii mara kwa mara!
Hiyo aliwahi kuzungumza katika kipindi cha SuperMix East Africa Radio ameitoa rasmi kwa shughuli za kichama. Alinunua baada ya kupata ubunge. Ilipiga kazi sana Igunga.....na sasa imepiga kazi Arumeru Mashariki.

yeye anatumia hicho kivitz kwa safari zote hata kwendea mjengoni
 
Nyie chadema bana sasa tume ina shida gani!! Msiwe mnalalamika kila kitu bwana mnaonekana watukutu sasa..tume iko balanced tulieni hivyo hivyo msimvuruge mkwe wangu mzee warioba..yushafahamiana mnyika!!
 
m nyika ni zaidi ya hao unaowazania wanaweza, big up mnyika sio zito, mnyika unaweza
 
Back
Top Bottom