Serikali ipunguze unyanyasaji kwa raia maskini

Chokler

Member
Feb 16, 2012
69
12
Mimi ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa Wilaya ya Arumeru Mashariki.

Kero yangu kwa hii serikali iliyopo madarakani ni mgandamizo wa maisha kwa dhambi za vigogo mfano ni mfumuko wa bei ya bidhaa za maisha ya kila siku kwenye maisha yetu maskini mfano mafuta ya taa, sukari, viburudisho nk,.

Kutokana na uchaguzi mdogo jimboni kwetu maisha yamekuwa magumu maradufu kutokana na kupanda kwa bei ya baadhi bidhaa ikiwemo soda (600-800), mkate (900-1000)nk.

Ndio maana tunafika mahali kuweza kuamini kwamba jiwe ni bora kuliko kiongozi wa CCM, chondechonde.
 
Nduguzangu Kwa CCM kuendelea kututawala tutateseka sana tuikatae kwanguvu zote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom