Nimejifunza: Watanzania wameamka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimejifunza: Watanzania wameamka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Benno, Apr 8, 2012.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimefuatilia mitandao, ninahakika mambo yamebadilika sana, vijana wanachambua hoka kwa majini mno.
  Tahadhari yangu kwa Television zetu na redio zetu,hawatangazi mabadiliko haya kwa msisitizo na hivyo kutasababisha waliopo madarakani ambao naamini hawasomi hii mitandao kutojua hali ya nchi ilivyo kwa sasa.
  Kwa sasa hali ni mbaya hata ukivaa nguo ya kijani unachaniwa kwenye daladala.
  Kila mtu akiulizwa kuulizwa chama anataja CDM.

  Natoa wito kwa TBC kuonyesha matukio makubwa kama ya Arusha kwani watu wasije wakashangaa CDM inavyobarikiwa kwa kuporomosha mabadiliko makubwa nchi nzima.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Nime kukubali kwa 99.99% ila napingana na wewe hapo kwenye red kwa 0.01% kama unafikiri hawasomi mitandao hii kamuulize Nape, Rejao, Ritz, FF, MS na wengineo watakueleza tena wengine wapo wengi humu ila sema wanatumia ID fake yaani si majina yao kama mimi ninavyotumia hapa au Nape
   
Loading...