CCM hawakamatiki wala Hawashikiki

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Si mpenzi wa vyama hutowa sifa kwa chama chochote kile ,zikiwa Nzuri au mbaya alimradi ni sifa tu.nimefuatia kesi ya lema na uchaguzi halafu nikangalia na timing ya matokeo yote mawili ya kesi na uchaguzi , utagunduwa kilicho fanyika ni kusubiriwa kwa matokeo ya Uchaguzi kwanza na kama CCM wange shinda basi Lema angekuwa Mbuge hivi tunazungumza lakini kilichoonekana kushindwa kwa chama tawala ikapelekea ni lazima lema avuliwe Ubunge kwa maana hiyo jimbo la Arusha kuanzia mamuzi yale ni rasmi jimbo limerudishwa kwa Master (CCM) tukita tusitake tukipenda tusipende ukweli ndio huo ,hakuna Mbowi hakuna dr slaa wala nguvu ya Uma, lakini kuna Nguvu ya risasi za moto ndiyo inayotuliza hizo nguvu za uma , juzi hapa tulishuhudia kule mwanza jinsi Wabunge wa Chadema walivyo kiona cha mtema wa kuni ule ni mwanzo tu
 
Ukiona hivi ujue magamba mmeshikwa pabaya! Sasa ndio nimejithibitishia 110% kuwa hata nyie mmejua ukweli huo!
 
Si mpenzi wa vyama hutowa sifa kwa chama chochote kile ,zikiwa Nzuri au mbaya alimradi ni sifa tu.nimefuatia kesi ya lema na uchaguzi halafu nikangalia na timing ya matokeo yote mawili ya kesi na uchaguzi , utagunduwa kilicho fanyika ni kusubiriwa kwa matokeo ya Uchaguzi kwanza na kama CCM wange shinda basi Lema angekuwa Mbuge hivi tunazungumza lakini kilichoonekana kushindwa kwa chama tawala ikapelekea ni lazima lema avuliwe Ubunge kwa maana hiyo jimbo la Arusha kuanzia mamuzi yale ni rasmi jimbo limerudishwa kwa Master (CCM) tukita tusitake tukipenda tusipende ukweli ndio huo ,hakuna Mbowi hakuna dr slaa wala nguvu ya Uma, lakini kuna Nguvu ya risasi za moto ndiyo inayotuliza hizo nguvu za uma , juzi hapa tulishuhudia kule mwanza jinsi Wabunge wa Chadema walivyo kiona cha mtema wa kuni ule ni mwanzo tu

akili za matakoni.

kwa taarifa yako ccm ya sasa sisi tunaiona kama nyumba ndogo....ukisikia ham unaenda kumega, unasepa. tena gesti bubu.
 
:A S-fire1:Mmmmh,kiukwel napata tabu najamii hii ya watanzania,hiv kama huna maslah binafsi unaweza kuandika kitu kama hicho?ama kweli kazi ipo but naamini haki na ukweli hushinda nakama ushindi wako unategemea risasi bac hata meru mngeshinda.huna lolote we ngoja uje uone kama hilo jimbo mtachukua,kwanza unamatatizo ya akil wewe make ungekua mentally fit usingetapika matapishi ya aina hiyo,
 
Huyu jamaa aliyeleta hii thread nafikiri katokea Mombasa na kuja Arumeru kuwafuata magamba na amatelekezwa baada ya matokeo hana jipya.
 
Si mpenzi wa vyama hutowa sifa kwa chama chochote kile ,zikiwa Nzuri au mbaya alimradi ni sifa tu.nimefuatia kesi ya lema na uchaguzi halafu nikangalia na timing ya matokeo yote mawili ya kesi na uchaguzi , utagunduwa kilicho fanyika ni kusubiriwa kwa matokeo ya Uchaguzi kwanza na kama CCM wange shinda basi Lema angekuwa Mbuge hivi tunazungumza lakini kilichoonekana kushindwa kwa chama tawala ikapelekea ni lazima lema avuliwe Ubunge kwa maana hiyo jimbo la Arusha kuanzia mamuzi yale ni rasmi jimbo limerudishwa kwa Master (CCM) tukita tusitake tukipenda tusipende ukweli ndio huo ,hakuna Mbowi hakuna dr slaa wala nguvu ya Uma, lakini kuna Nguvu ya risasi za moto ndiyo inayotuliza hizo nguvu za uma , juzi hapa tulishuhudia kule mwanza jinsi Wabunge wa Chadema walivyo kiona cha mtema wa kuni ule ni mwanzo tu

unapekechwa kiaina
 
Duuuuh mbona dogo janja kawatoa jasho Arumeru sembuse Arusha mjini? Jilize?

Igunga ni kura ngapi zimepotea na Arumeru? Arusha zile 37,000 za Batrida nakuhakikishia hata 20,000 mkipata ni za kuiba.
 
Si mpenzi wa vyama hutowa sifa kwa chama chochote kile ,zikiwa Nzuri au mbaya alimradi ni sifa tu.nimefuatia kesi ya lema na uchaguzi halafu nikangalia na timing ya matokeo yote mawili ya kesi na uchaguzi , utagunduwa kilicho fanyika ni kusubiriwa kwa matokeo ya Uchaguzi kwanza na kama CCM wange shinda basi Lema angekuwa Mbuge hivi tunazungumza lakini kilichoonekana kushindwa kwa chama tawala ikapelekea ni lazima lema avuliwe Ubunge kwa maana hiyo jimbo la Arusha kuanzia mamuzi yale ni rasmi jimbo limerudishwa kwa Master (CCM) tukita tusitake tukipenda tusipende ukweli ndio huo ,hakuna Mbowi hakuna dr slaa wala nguvu ya Uma, lakini kuna Nguvu ya risasi za moto ndiyo inayotuliza hizo nguvu za uma , juzi hapa tulishuhudia kule mwanza jinsi Wabunge wa Chadema walivyo kiona cha mtema wa kuni ule ni mwanzo tu

Unataka niamini kwamba hapa ndiyo mwisho wa mawazo yako ? Kuna forums nyingi za kitoto ungaliweza kuwa mwenyekiti wao maana wewe ni mjinga namba moja .
 
Nchi yetu haiko makini sana katika kudhibiti wahamiaji haramu, huyu aliyeanzisha hii thread nahisi huyu si mtanzania, si mwenzetu huyu. Hata kwa utafiti mdogo tu, huyu ni mzamiaji. Huwezi kushangilia vitu vya hatari kihivyo. Their days are numbered. There is one day yes!
 
Back
Top Bottom