Baada ya kuiua ccm Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kuiua ccm Arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ptz, Apr 7, 2012.

 1. P

  Ptz JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Baada Mwigulu Mchemba na wenzake kuiua rasmi ccm Arumeru, leo ameoneka nyumbani kwa Kanumba Sinza na skafu yake ikining'inia shingoni. Nimeona makada kibao wa ccm, source itv taarifa ya habari saa mbili.RIP ccm, RIP Kanumba
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mchemba ni mshamba sana, yeye hivyo vi skafu anadhani ndio utanzania au uccm
   
 3. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchema kwetu mpimbwe huko mpanda ni kukata....Mwigulu ameikata kweli kweli CCM...keep up brother...kata CCM hadi ibaki vipande vipande...
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Nipige kichwani labda nitaelewa.

  Hata mie nimemwona kwenye taarifa na skafu ya bendera, nikaamini kuwa kukariri kubaya sana.

  Amekariri akitoka lazima awe na skafu?
  Anaweza kwenda kuposa na skafu huyu.
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ni lofa
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  kama alivyo kariri dalasa la saba
   
 7. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wengi hawajui siri ya skafu anazovaa mzinzichemba,ni dawa za mganga wake ndimo zilimowekwa
   
 8. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sijui lina nini somi kubwa lkn lishamba kweli wenzake huvaa vitambaa vyeusi au nguo nyeusi lenyewe limeng'ang'ania skafu ya bendela ya taifa.
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hatoisahau arusha!nina uhakika hatakanyaga tena arusha...!
   
 10. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,269
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Milele hatosahau. Kilichomkuta kule mulala, wekwa vibao vya kutosha.
   
Loading...