IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Habari hii ya kusikitisha , ya kifo cha Rais wa Malawi ambacho kinahusishwa na serikali yake kushindwa kuimarisha miundo mbinu ya Afya ni somo kwa viongozi wetu, kwamba hata kama watakimbilia Ulaya kwa matibabu, kuna siku ambayo Ulaya patakuwa mbali na yatatokea kama yaliyomkuta huyu jamaa.
Soma zaidi Hapa:The problem with presidential medical travel | FP Passport
Soma zaidi Hapa:The problem with presidential medical travel | FP Passport