Katiba mpya ni janja ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya ni janja ya CCM

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Bra-joe, Apr 7, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Ccm wamegudua wapo ktk hatari kubwa sana yakuwa chama cha upinzani kwa Cdm in 2015 au 2020. Wanajua fika kuwa katiba iliyopo sasa inawapa wakati mgumu wapinzani kwani chama tawala kinauwezo wa kutumia Polisi, mahakama, tume ya uchaguzi, TRA au asasi zingine za serikali kukandamiza wapinzani. Hivyo pindi ccm watakapokuwa wapinzani ktk katiba mpya hawatakuwa na wakati mgumu kama wapinzani walivyo kwa sasa. Katiba mpya ni uhai kwa ccm, kwani wangepoteza madaraka ktk katiba iliyopo sasa, chama (ccm) kingekufa kabisa kama kile cha Kenya. (kanu)
   
 2. b

  bigi Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli tupu japo ingependeza nao waonje machungu
  Haya haya wanayopitia wenzao.
   
 3. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  wana zali.
   
Loading...