Jamani kuna ufisadi unaendelea mfuko wa pembejeo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kuna ufisadi unaendelea mfuko wa pembejeo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTENGETI, Apr 8, 2012.

 1. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Heri ya Pasaka ndugu zangu wote. Hii ni exclusive. Kuna kamchezo kanafanyika pale wizara ya Kilimo ka kukpoesha watu wasiokuwa na sifa Matrekta. Jimboni Mwanga Mkoani Kilimanjaro kwa nguvu ya Waziri wa Kilimo na Chakula Prof. Jumanne Maghembe madiwani ambao wanamsapoti yeye wanapewa mikopo ya matrekta aina ya New Holand.
  Madiwani hao wengi wao hawana uwezo wa kulipa kwa sababu tunawafahamu lakini pia yupo mmoja ambaye tayari ana mkopo tangu 1998 na hajalipa na pia trekta hilo halifanyi kazi za kilimomadiwan hao ni kama ifuavyo:-


  1. Enea Mrutu (amabye ni mmliki wa kampuni ya Charo inayomiliki mabasi ya KIRUMO ) yeye ana mkopo wa Trekta aina ya KATIC alilokopeshwa tangu 1998 na linafanya kazi ya kuhamisha makontena Bandarini Dar na sasa anapewa lingine aina ya New HOLAND
  2. Ruth Sangiwa Hana hata shamba na pia hana uwezo huo wa kurudisha anaishi Lembeni .
  3. Diwani wa Mgagao ambaye pia hana uwezo huo ila ni kwa sababu tu ya kumpigania Mh.Maghembe
  nk.
  Wapo wengi ila nimeanza na hawa wachache.
  SWALI. Wilaya moja kupewa matrekta karibu 8 na ni kwa viongozi tu ni sawa?
  Nawasilisha kwa ahadi ya Jumanne (siku ya Kazi ) kuweka baadhi ya vielelezo na kopi ya waraka toka kwa Maghembe kwenda kwa Mkurugenzi wa Mfuko kushinikiza watu wake kupewa matrekta hayo
   
 2. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  size ya mdomo wa jumanne unaionaje? heading iwe maghembe na ufisadi wa pembejeo.
   
 3. v

  vngenge JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  PCCB, MKONO MREFU WA SERIKALI UKO WAPI? Haiwezekani hebu tusubiri hivyo vielelezo kabla hatujaconclude intergrity na competence ya Goverment organs kuwa zime paralyse
   
Loading...