Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2002,August,nikiwa najisomea nyumbani,majira ya kumi na moja jioni,huku nikifuatilia matokeo ya kura ya Uchaguzi Mkuu wa ndani wa CCM,nilistuka kusikia Nape, akiwa na miaka 24 wakati...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukiwa mwanasiasa hasa Tanzania, usipokuwa makini hata kama una PHD uwezo wako wa kuainisha mambo unakuwa wa chini kushinda wazee wa kimila ambao role yao ni kushauri jamii yao. Wiki iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu ulikuwa ni mjadala Ijumaa iliyopita kwenye kipindi cha This Week in Perspective ambapo walijadiliana yale ambayo watu wamejifunza kutoka Arumeru Mashariki: (ni sehemu tu ya kipindi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana nimemsikia ****** anadai hospitali zote hadi za willayani zina xray na madawa ya kutosha hivi kaambiwa tuu au katembelea hizo hospitali kama groves hakuna hizo dawa ndo zitakuwepo? Yale...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
VIDEO~~ UAMSHO MWANAKWEREKWE ’3′Written by Nasikia kichefuchefu nikikumbuka muungano // 15/04/2012 // Habari, Vidio // No comments Related Posts DK. SHEIN MGENI RASMI KATIKA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
maneno haya ya baba wa taifa "ccm dhaifu itazaa serikali dhaifu" ni kweli maneno haya yametoa matokeo kwa sasa au bado tuko vizuri? makundi yalipo ndani ya ccm yanatafuna na serikali pia...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
kwa kuchunguza kwa makin,i kuna ishara kuwa CCM imepungua umaarufu kwa kasi. Zamani CCM ilikuwa maarufu sana kiasi kwamba mtu yeyote akiteuliwa kugombea nafasi ya uongozi kupitia CCM alikuwa na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mutharika, kurithishana na maburungutu ya dolaChanzo: www.mpayukaji.blogspot.com UROHO NA UNAFIKI WA MARAIS WETU Habari...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
OpEdNews Original Content at OpEdNews - Article: East Africa should be Able to Feed Itself (Note: You can view every article as one long page if you sign up as an Associate Member, or higher)...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Mwenyezi Mungu angekupa uhai zaidi basi ungegundua kwamba nchi yetu si maskini kabisa tuna utajiri mkubwa sana wa rasilimali ambazo kama zingetumika vizuri nchi yetu ingekuwa mbali sana...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
GreatThinkers, Hata uchaguzi ungefanyika leo CCM imezidi kujichafua, Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mwanza, Geita, Simiyu na Mara inaonesha hali itakuwa ngumu sana kwa CCM kupata japo jimbo moja. Kuna...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Kwa habari nilizozipata hivi karibuni ni kwamba graph ya mgombea wa TLP ndugu Mlindoko imepanda kwa kasi sana kiasi cha kuhatarisha kura za Komu na inasemekana Augustino Lyatonga Mrema anampigia...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Richard Mgamba, Guardian, Dar es Salaam, 15th April 2012 “We come in with our large boats and fish your minerals and your wildlife and leave morsels—crumbs. That’s your staple food, crumbs. That...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona mara nyingi watu wakizungumzia udikteta lakini tafsiri huwa zinatofautiana.Kuna wengine wanaitafsiri kwamba kiongozi anayekaa madarakani kwa muda mrefu ndio dikteta. Na kunawengine...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Kama mjuavyo, BAZAZI sio mkazi wa eneo moja, ni nyanaume inayozurura tu hivyo ninaomba msamaha iwapo uzi huu nitakuwa naurudia. Tarehe 04/04/2012 Clouds FM ilifanya mahojiano na Mbunge wa Mtere...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi karibuni kiongozi mkuu wa nchi alitoa 10millioni rambirambi kwa ajili ya msiba wa msanii Kanumba. Kwenye taarifa ya habari ya saa mbili TBC, ameonyeshwa mama mmoja mwenye tatizo la kuvimba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhubutu sema Dr.Lucy Nkya hafai.Hapo alipofikia ni uthibitisho kuwa CCM bado wana mfumo mbovu unaoweza fikisha watu wasio sahihi mahali wasipostahili.Dr. Lucy Nkya kwa historia na maisha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna haja ya kufanya hivyo sasa kwani Madiwani wa vijijini wengi elimu ndogo hawapewi posho wanahongwa dili zinapitishwa. ONGEZEKO LA VYUO HALILINGANI NA NAFASI ZA AJIRA ZINAZOTENGENEZWA...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu Mjengwa, Ushauri wako kwa CCM hii ya makuadi wa soko huria na wapenda kusifiwa hata wanapokuwa hawana walilolifanya linalostahili kusifiwa si sahihi kwa maoni yangu. CCM ya leo wala...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa vile hatuwezi weka sanamu au hata michoro yao hapa zipigwe mawe na kila raia mwenye hasira.Kwa vile pia muda wa kuwatoa kwa kura bado.Mnaonaje tukipropose muweke jina (idadi ya mawe unataka...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…