Msafara wa Pinda ndani ya A town!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Nikiwa hapa Technical College Arusha,mara msafara wa magari aina ya Landcruiser Vx tu na ndipo nikamwona ni mtoto wa mkulima ndio amesababisha msafara wote!

Anayejua kwa undani anakoelekea huyu PM atujuze tu!

Ana msafara wa magari kama 35 bila ya kukosea!

Nawasilisha!
 
kasubiri lema hayupo ndio anatia timu,jizi tu hilo hakuna cha mkulima wala nini.anajifanya mlokole kumbe jizi tu,tena jizi **** wezi wenzie wanaiba kumi yeye kama kiongozi mkuu anaiba moja,hana jipya huyo achape lapa arachuga machalii hawataki mafisadi hata rock city hatuwataki ndio maana wanashirikiana na polisisiemu kutaka kuwauwa makamanda wetu kwa kuwapiga mapanga
 
mwacheni jamani apumzike juzi mbowe kampiga swali la papokwa hapo bado kidogo tu alie
 
Nilitarajia kukuta maneno haya "UMEACHA NJIA NA KUTUMBUKIA MTO NDURUMA, HAIJAJULIKANA MARA MOJA KAMA GARI ALILOKUWEMO PINDA NALO LIMETUMBUKIA AU LA" reason behind, anaruhusu mawaziri kutenda makosa ref. jibu lake kwa Mh. Mbunge wa hai. (TUNAGENERATE HASIRA NDANI KWA NDANI)
 
Nikiwa hapa Technical College Arusha,mara msafara wa magari aina ya Landcruiser Vx tu na ndipo nikamwona ni mtoto wa mkulima ndio amesababisha msafara wote!

Anayejua kwa undani anakoelekea huyu PM atujuze tu!

Ana msafara wa magari kama 35 bila ya kukosea!

Nawasilisha!

Mwenyewe anadai hapendi magari ya kifahari!!!!
 
sasa imagine magari vx hata zikiwa 10 tu zimegharim kiasi gani kwa taifa? halafu anasema serikali imeishiwa. sasa jamani hivi kama mtu huna hela utaweza kweli kusafiri? au tunadanganywa?
 
Huwa inanishangaza kuwa na misafara ya amagari mengi kiasi hicho lengo ni nini.
 
Nikiwa hapa Technical College Arusha,mara msafara wa magari aina ya Landcruiser Vx tu na ndipo nikamwona ni mtoto wa mkulima ndio amesababisha msafara wote!

Anayejua kwa undani anakoelekea huyu PM atujuze tu!

Ana msafara wa magari kama 35 bila ya kukosea!

Nawasilisha!

Jamani si amesema anapunguza matumizi yasiyo ya lazima sasa msafara wa magari 35 yote ya nini? Halafu sasa hivi angalau anaamni anapo kuja Arusha baada ya Lema kwenda likizo…..
Vipi mkuu hukuzomea hata kidogo
 
Mwenyewe anadai hapendi magari ya kifahari!!!!
Lema huwa anasema Pinda ni muongo kuliko hata shetani.....Juzi katoka kusema anapunguza matumizi yasiyo ya lazima leo masafara wake magari 35...kweli pinda unayoyasema huwa unayatenda au ni kutupumbaza wadaganyika...
 
mwacheni jamani apumzike juzi mbowe kampiga swali la papokwa hapo bado kidogo tu alie
Na kile kilio chake cha kinafiki ati anauchungu sana na ndugu zetu walemavu jiulize alifanya nini la maana kukomesha......
 
Amevaa suti au batiki?

Nalipenda sana jina hili JABULANI au fupiza JABU,wewe na mwanangu sasa hata kama si jina halisi kwani my boy anaitwa Jabulani, maana yake REJOICE, BE HAPPY (not only happy but ALWAYS)

Mimi ninachofahamu ni kuwa JK yuko kule Arusha na anakutana na JD Kabila Rais wa DRC pale ARUSHA COFFEE LODGE leo.Labda na yeye kaalikwa kwenda kula keki ya taifa na dogo.Kwani hujui JD na pinda wanafahamiana sana tangu MP alipokuwa IKULU?
 
Jamani mwacheni huyo ndugu yake tyson, asije akaanza kulia bure...
 
Back
Top Bottom