Musa Mkanga anaongea kupitia radio moja hapa Arusha

Pendael laizer

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
958
101
Musa mkanga ambaye ni mmoja kati ya wale waliofungua kesi kupinga lema kushinda uchaguzi jimbo la Arusha mjini. Jamaa anafafanua jinsi alivyoshinda kesi na furaha aliyonayo kushinda kesi yake.
 
Jamaa anasema wapiga kura walikuwa zaidi ya laki moja lakini walio piga kura ni elf tisini tu na anasema waliobaki wamekataa kupiga kura kutokana na matusi ya lema
 
Asubiri maamuzi ya court of appeal ndio atakapo jua anafurahi au analia kwa kulipishwa gharama za kesi
 
Anasema mkutano wa chadema ule mkubwa ambao ulifanyika hapa Arusha baada ya lema kung'olewa yeye nwenyewe alikuwapo na wanachama wa ccm waliongeza idadi ya watu pale.
 
Asubiri maamuzi ya court of appeal ndio atakapo jua anafurahi au analia kwa kulipishwa gharama za kesi
Mkuu grama za kesi zina ni kodi ya walala hoi kwani wanalipiwa na chama yaani CCM kwa tamko la Makamba...
 
Amesema pia kuwa uchaguzi ukirudiwa ni lazma ccm washinde maana wana historia hiyo mwaka 95
 
Pia alisema kuwa yeye hakutumwa na mtu yeyote yeye kafungua kesi kama mpiga kura kupinga ushindi ambao lema aliupata. Na anasema kuwa laiti lema hakuu mchafua Batlida basi wao wangeshinda na amesema uchaguzi ukirudiwa lazma washinde
 
Hiyo radio ina namba za simu?? Au ni kama Clouds fm watu wanaongea pumba halafu hawaruhusu simu??
 
Asubiri rufaa aone asifikiri ni yule jaji wa upe.ajiandae kuuza nyumba alipe gharama za kesi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom