Waziri Mkuu Pinda asikitishwa hoja ya Watanzania Maskini, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu Pinda asikitishwa hoja ya Watanzania Maskini,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Naytsory, Apr 14, 2012.

 1. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,589
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Majibu ya waziri Mkuu kwa Mh. Mbowe juzi bungeni kuhusiana na Mawaziri wake kuwatishia wananchi watakaowachagua wapinzani serikali haitatenga fedha yanaonesha jinsi kiongozi huyu mkuu anavyowatetea mawaziri wanaotumia madaraka yao vibaya kuwabagua watanzania. Lakini pia tunabaini Mh. Pinda anaona bora watanzania wafe maskini lakini ccm ikiendelea kustawi kwa kutumia Mawaziri, nashindwa kuelewa watamwongoza nani. Majibu Waziri mkuu kwa kiongozi wa kambi ya Upinzani bungeni yameendelea kupunguza imani ya watanzania kwa serikali ya ccm and i am among of them. Pinda anasikitishwa na hoja ya Mbowe wakati Watanzania tumehuzunishwa sana na kauli yake, hoja ya Mbowe ni ya Watanzania maskini wanaoteseka ndani ya nchi hii. Ipo siku tutatoa hukumu.
   
 2. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pinda = 0
   
 3. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mh. Pinda hana hoja, huyu baba yangu(Kiumuri) ni ndiyo Mzee. Hajui hata yupo wapi. Waziri mkuu analia kwa kuwahurumia albina instead ya kuapa kufa na wanaowaua.
  Serikari yaetu imejaa waigizaji hadi aibu ni full you know!!!!! Usitegemee maendeleo kwa kuwa na kiongozi kama Pinada
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tufunge mikanda
   
 5. k

  kumdyanko Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbowe swali alilouliza limewapa jibu sahihi watanzania wachache ambao bado wanangangnia kijani kibichi.siyo siri mzee wa papo kwa papo hakuamini make yeye ni mzee wa kutoa kauli bila utekelezaji ama kweli tanzania tuna wabunge na viongozi wa majukwaani. sitasahau tusi alilotutukana LUSINDE wakati wa uchaguzi ARUMERU.
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Nilicheka kitu Kimoja alipoongeza jibu lake kuwa Mawaziri walikuwa vitani....Nikajiuliza hakujua km Mbowe angeweza muuliza na Lema alikuwa wapi?Tena CDM wangetumia hii kukata rufaa wangewachomoa wabunge wa CCM kwa kutisha wapiga kura wote.
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hivi ndugu mtoa mada ni lini waziri mkuu hajawai kusikitika tokea kuchaguliwa kushika uwaziri mkuu?Yeye akiwa na wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,madiwani,wabunge,wanafunzi,wauguzi,madaktari ni kusikitika tu.
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,947
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  akili ya Pinda ni kama sura ya Wa*s*i*r--
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Nina imani kuwa tangu tupate uhuru wetu hatujawahi kuwa na waziri mkuu bogus kama huyu!! mahali pa kuchukua hatua haraka anasema anasikitika! waziri mkuu wa kwanza kulia bungeni!!amalize muda wake maana kweli amepinda!!
   
 10. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pinda si alikuwa house wa ikulu toka enzi za mwalimu JKN. Hamshangai houseboy na siasa ni wapi na wapi. Amezoea mambo ya uhouseboy ya kulia hovyo ilimradi tu bosi wake anarizika. Huyu baba ni kubwa jinga kweli.
   
 11. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,589
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ukisikiliza majibu ya waziri mkuu, unategemea majibu gani kutoka kwa mawaziri wake ? Hilo somo kwa watanzania.
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Waheshimiwa Magufuli na Mary Nagu wanastahili kuwajibishwa kutokana na kauli zao walizowalaghai wananchi kwenye kampeni. Mgufuli alitumia uwaziri kushawishi wapiga kura igunga wachague CCM ili wajengewe daraja la Mbutu. Nagu aliwatishia wananchi Arumeru kuwa wasipochagua CCM basi watawacheleweshea miradi ya maendeleo makusudi. Serikali ikishindwa kuwawajibisha basi tutaelewa hiyo ni mikakati take ya makusudi katika kuuwa demokrasia. Serikali inapaswa kusimamia katiba na kutendea haki kodi za wananchi na siyo kupendelea chama tawala. Ni dhambi kubwa kuwanyima maendeleo wananchi sababu tu ya kutumia haki yao kikatiba na demokrasia kwa kuchagua upinzani.
   
Loading...