Kesi ya Tundu Lissu Mahakama kuu Singida yaendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Tundu Lissu Mahakama kuu Singida yaendelea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Capitalist, Apr 16, 2012.

 1. C

  Capitalist Senior Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mh. Lissu aendelea kuwaburuza magamba wazembe mahakamani, leo alikuwa anaelezea ushahidi wa magamba ulivyojikanganya, kesi inaendelea saa 8 mchana.
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nia ya magamba ni kumtoa huyo sijui kama wataweza.
   
 3. C

  Capitalist Senior Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu hapa wanaweza kujikwaa maana alivyokuwa akichachafya mawakili wa Magamba walibaki midomo wazi kama wamekamatwa Ugoni huku m/kiti mkoa Magamba wa Magamba Joram Alute akisinzia mahakamani.
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kikubwa wanachotaka ni kwamba asiwe Bungeni mda huu maana Tundu Lisu ni mmoja wa wabunge waliotufumbua macho Watanzania kwamba Bungeni kuna vilaza wa CCM zaidi ya 90%
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuliko Lissu awe Mbunge ni heri Slaa aukwae URAISI
  Mnaikumbuka iyo statement?
   
 6. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesi ya kitoto kama nini tunammisi sana Lisu Bungeni,hata muswaada wa juzi usingepita na upuuzi wote ule,naona Werema ana kula na kushiba kipindi hiki!
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Inamaana huyu mtu hayuko Bungeni sababu ya huu upuuzi?
   
 8. n

  nkikiki Senior Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Majaji wajihadhari sana na maamuzi ya kuibeba ccm!
   
 9. Mr.Waukweli

  Mr.Waukweli Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  mkuu endelea kutujili yaliyotokea mahakamani kama kawaida yako. ciao
   
 10. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ngoja tuone,manake siasa za kwetu!!!
   
 11. k

  kitero JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichwa cha Lissu ni vichwa kama 60 vya magamba.
   
 12. J

  John W. Mlacha Verified User

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  hawa wajinga wanaharibu tu rasilimali za serikali bure
   
 13. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Aliimwaga mkulu wakati wa kampeni akiwaomba CCM Singida wafanye yote wawezayo ilimradi wazuie Jembe hilo lisiingie mjengoni. Lol!
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kazi ya kuwafungua wa tz imeshafanywa kuwafunga tena haiwezekani magamba bora waachane na lissu waje kuomba msamaha kwa wananchi kwa makosa waliyofanya. Kuhangaika na lissu ni sawa na kumfukuza kibaka aliyekuibia mbuzi mmoja ukaanza kumkimbiza kwa kuwaacha mbuzi 99 porini
   
 15. M

  Mzee Lupa Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Magamba walishndwa kwenye uchaguz sasa wanatumia Mahakama
   
 16. C

  Capitalist Senior Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mh.LISSU NDIO KAFUNGA KUCHAMBUA USHAHIDI ULIOTOLEWA MAHAKAMANI HIVI SASA , SASA ANAANZA WAKILI WA SERIKALI KUTETEA UPUUZI WAO.
   
 17. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Tunangoja updates wakuu!! Naona this time Werema anjinafasi kinoma...

  Lakini they say 'Chenge outshines Werema'

  Dizaini kama wote ni vilaza na wana mavichwa mazito sana!!

  Tunamkumbuka Lissu!!
   
 18. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Sango leo wapi? maana jembe hili huwa anaspeed ya ajabu, ananakili yoye ya mahakamani
   
 19. k

  kicheche10 Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila laheri T Lissu, mungu yupo pamoja nawe
   
 20. C

  Capitalist Senior Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ISANGO anaumwa mkuu ndoo maana hatuna Up dates za maelezo ya kamanda wetu na wezi wa Magamba hapa jamvini
   
Loading...