Ajira kwa vijana ni bomu lilojifunika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira kwa vijana ni bomu lilojifunika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELIESKIA, Apr 16, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimekuwa nikimsikia lowasa akiisema sentes hii ingawa naafikiana nae. ila yy na dhamira yake ni kudhan anaweza kuwateka vijana . ameanza na kutumia lugha za mtaan eti mfano ni kampeni za arumeru eti hapo vipiii? hawakuchukua hatua kuwapa ajira vijana wanaona vijana ndo wapiga kura 2015 ndo wanadhan sentes zao za kinafiki zinaweza kupindisha ukwel wa vijana kuichukia ccm
   
Loading...