Dr Slaa na Godbless Lema kuhutubia mkutano wa hadhara Kahama mjini leo

RUMANYIKA

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
315
74
Hayawi hayawi hatimae Dr slaa, G.Lema na Makamanda wengine kufanya mkutano leo hapa KAHAMA. Nipo hapa kahama na nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea. Kwa sasa makamanda wapo vijijini wakitoa dawa na kuanzia saa kumi watakua hapa mjini kahama. Yatakayojiri yatafuata.
 
jembe lema keshaingia front...naona mwamko mkubwa kwa wananchi..endelea kutujuza kamanda.
 
Asante kwa taarifa,
hata hivyo wote slaa na lema wanashare the same experience! so they deserve to move around!
 
Safi sana walimkomoa lema,sasa atafanya kazi nje ya bunge ni wakati mzuri wa kujenga chama dr amepata pacha mwenzake wa kufanya naye kazi.sasa ndiyo wakati mzuri wa lema kujifunza mengi zaidi,dr aanze kuwarithisha kazi vijana.peoplessssssssssssssssss
 
Hayawi hayawi hatimae Dr slaa, G.Lema na Makamanda wengine kufanya mkutano leo hapa KAHAMA. Nipo hapa kahama na nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea. Kwa sasa makamanda wapo vijijini wakitoa dawa na kuanzia saa kumi watakua hapa mjini kahama. Yatakayojiri yatafuata.
Andaa kamera kamanda angalau uje ututupie kip[iha hata kama ni cha kamera ya kichina.....
 
Asante kwa taarifa,
hata hivyo wote slaa na lema wanashare the same experience! so they deserve to move around!

Naona unaumia Sana unaposikia CDM inahamasisha wananchi, Huo ujira wako lazima uwe na mwisho...

Unatetea waTZ kupewa Vyandaru kwa kubadilishana na Uranium?
 
Daah, inauma sana yaani nimeondoka jana tu Kahama. Ningewamwagia tukio zima kama wale machalii wa ARUSHA
 
Perhaps you mean they are both losers!!

CCM watapata/wanapata hasara zaidi kwa Dr Slaa na Lema kuwa nje ya bungeni kuliko wakiwa ndani. Huku nje ndiko kwenye bunge la watu wengi zaidi, watu wanaosikiliza kwa makini na mbaya zadi watu wenye mamlaka ya kuamua ama ccm waendelee au waondokee madarakani. Makosa ya kumvua Lema ubunge yatawasumbua sana CCM.
 
Tupo kwenye kikao cha ndani na dr.slaa, waitara , m/kiti cdm tabora pamoja na wajumbe wa majimbo ya kahama na msalala hapa hotel ya pine ridge kahama mjini
 
Andaa kamera kamanda angalau uje ututupie kip[iha hata kama ni cha kamera ya kichina.....

Duu! Kama kuna mtu mwenye uzoefu wa kuapload picha kwa simu anipe maelekezo. Maana sina kamera natumia sim.
 
Tupo kwenye kikao cha ndani na dr.slaa, waitara , m/kiti cdm tabora pamoja na wajumbe wa majimbo ya kahama na msalala hapa hotel ya pine ridge kahama mjini

Sawa kamanda ila kama kuna uwezekano wa kuweka picha ufanye hivyo maana humu kuna kina Tomaso wa kumwaga.
 
Perhaps you mean they are both losers!!
Aisee mwaka huu utakufa kwa kihoro maana ni mapigo mfululizo, Arumeru kipigo cha mbwa mwizi na leo Ole Millya kakabidhiwa kombati na Lema sasa mmemtafutia ujiko wa nchi nzima na siyo Arusha peke yake.
 
Back
Top Bottom