JK awa wa kwanza kuthibitisha kushiriki maziko ya Mutharika

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Rais Jakaya Kikwete anayesifika kwa kupenda kuhudhuria misiba na kufanya ziara nje amekuwa kiongozi wa kwanza kati ya wanne watakaoshiriki mazishi ya rais wa zamani wa Malawi Bingu wa Mutharika. Kweli waliosema jamaa anapenda kuhudhuria misiba hawajakosea. Akitoka Lilongwe lazima awahi Katesh kwa Mary Nagu. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA.
 
Sasa hivi yuko Brazil kwa siku 7; sidhani yeye atahudhuria

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Bw Raymond Mbilinyi, baada ya kuwasili Jumapili Aprili 15, 2012 katika hoteli ya Tivoli jijini Sao Paulo, Brazil, tayari kwa ziara ya siku tano ya kikazi nchini humo.
 
Rais Jakaya Kikwete anayesifika kwa kupenda kuhudhuria misiba na kufanya ziara nje amekuwa kiongozi wa kwanza kati ya wanne watakaoshiriki mazishi ya rais wa zamani wa Malawi Bingu wa Mutharika. Kweli waliosema jamaa anapenda kuhudhuria misiba hawajakosea. Akitoka Lilongwe lazima awahi Katesh kwa Mary Nagu. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA.

Hapo pekundu: Wanne ndio waliothibitisha mpaka sasa. Marais wengine wanatarajiwa kuendelea kuthibitisha kwani mazishi ni wiki ijayo Jumatatu.

Pale pa Blue - kwa Mary Nagu kuna nini?
 
Back
Top Bottom