Wana JF,
Tuache majungu mi ningependa kama kuna Wabunge wa CCM wanaopiga kura hapa JF, basi wafanye haya kwa mustakabali wa nchi yetu wachague mama Mmari, mama Mbene, Dr Mondolwa na Dr Rweikiza...
Taarifa ya habari saa mbili,
Nkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa, akithibitsha hali hiyo amesema hawana...
Wakuu wote JF, heshima mbele sana you know!
- Unajua hapa JF Kumkoma Nyani ndio our home, no matter what this is our sweet home it where we started our political inspirations, it is where we were...
Nimejitahidi kutafakari ni kwa namna gani Katiba mpya itatuletea mabadiliko ya kweli tunayoyataka, nimekosa majibu - na sidhani kama nitayapata.
Fikra zangu zinanirejesha enzi za kudai Uhuru...
Hbr nilizonazo ni kwamba leo Rais Jk ametingatinga ndani ya Wilaya ya Longido na kugawa ng'ombe tajwa hapo juu,baada ya ile janga la ukame la miaka minne iliyopita na kuwaacha wafugaji wa wilaya...
Source Mwananchi
Ramadhan Semtawa
KASHFA ya uuzwaji wa kiwanja cha Serikali namba 10 kilichoko Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam kwa Kampuni ya Mohamed Enterprises (MeTL), imemuweka...
- Pamoja na kwamba nipo kwenye Marathon za Ubunge wa EAC huku Dodoma, nimekuwa ninaufuatilia sana uchaguzi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, lakini baada ya kufuatilia sana uwezo wa...
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia...
Kutokana na kesi inayomkabili Mbunge wa Segerea Mhe. Mahanga jana wakati akihitimisha mjadala wa muswada wa sheria kuhusu Mamlaka ya udhibiti wa mashirika ya hifadhi za jamii alijikuta...
Ndugu zangu,
Sisi wa Kizazi Cha Azimio na wanyuma yetu bado tuna kumbukumbu ya ' Senema za Omo'.
Mara moja kwa mwezi ' tabaka la Wafanyakazi' wengi wakiishi Ilala lilikuwa likionyeshwa filamu...
Mwenyekiti wa ulingo wa wanawake nchini, Mh. Anna Abdallah
Mwenyekiti wa Ulingo wa Wanawake nchini, Anna Abdallah, amesema hakuna mgombea ubunge asiyetoa rushwa katika chaguzi, hali ambayo...
JUMATATU, APRILI 16, 2012 05:42 NA BAKARI KIMWANGA, DAR ES SALAAM
SURA ZA HABARI HII
Mbowe amvaa Spika Makinda
MREMA NAYE AIBUKA
Habari Yote
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni...
Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na...
We dare say we are a free people?
The Scourge of Corruption taking its toll on Tanzanians (and foreigners alike)
By an Innocent Bystander
The level of corruption in the Tanzania Police Force...
Posted on April 16, 2012 by zanzibaryetu
Baraza la Katiba limemaliza amwamu yake ya utoaji wa elimu ya uraia juu ya katiba na huku baadhi ya wananchi wakiwa na maoni mbali mbali, picha hii ni...
Ndugu wanaJf kama mnakumbuka baada ya sakata la kuvuliwa ubunge na mahakama katika hali ya mizengwe Mh.Lema alisema nafunga kwa siku saba. Na kama mnavyoona mkanganyiko ulioko Arusha ndani ya CCM...
Asema mfumo wa uchaguzi unachangia
Mwenyekiti wa Ulingo wa Wanawake nchini, Anna Abdallah
Mwenyekiti wa Ulingo wa Wanawake nchini, Anna Abdallah, amesema hakuna mgombea ubunge asiyetoa...
Katika hali ya kushangaza baada ya jimbo lenye utajiri mkubwa la ARUSHA kuangukia mikononi mwa chama cha upinzani CHADEMA serìkali ya ccm ilipata mshuko mkubwa mpaka kupelekea mwenyekiti wa ccm...
Katika hali isiyo ya kawaida madiwani wa Halmashauri ya wilaya Muleba huko Mkoa wa kagera wamegomea bajeti ya halmashauri hiyo hali iliyopelekea Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kulia mbele ya...