Uzalendo ni kitu muhimu katika kuchagua wabunge wa TZ EA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzalendo ni kitu muhimu katika kuchagua wabunge wa TZ EA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Apr 17, 2012.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,064
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  Wana JF,

  Tuache majungu mi ningependa kama kuna Wabunge wa CCM wanaopiga kura hapa JF, basi wafanye haya kwa mustakabali wa nchi yetu wachague mama Mmari, mama Mbene, Dr Mondolwa na Dr Rweikiza. Maana economic blocks zinahitaji serious experts watu wenye experience on regional economics maana kuna vitu kama ku-set taxation quotas kwa member states na sioni watu competent zaidi ya watu kama wakina Dr Mndolwa aliyewahi kuwa managing partner wa PriceHousewater coopers, Dr Rweikiza Executive Director of Tanzania Private Sector Foundation na mama Mbene Director of SIA Ltd mwenye economics background au mama Mmari pia (returning EALA MP)! Pia Komu wa CHADEMA apewe nafasi ili kuleta uwiano mzuri! Hao wakina Nkuhu na Banji waendelee kutumikia nafasi zao ndani ya CCM EA block means serious business na sidhani kama ni uwanja wa majaribio ule ni vizuri tukapeleka watu walio na economics qualifications na pia waliotumikia fani zao kwa utimilifu!

  Tusije tikaaibishana huko na kuuza nchi maana hawa wakina Nkuhu, Banji na Malecela sidhani kama wana uwelewa mzuri kwenye mambo ya economics and economics laws! Wanisamehe lakini EALA ni serious business na sidhani kama wao ni competent enough to represent our interests there!
   
 2. k

  kafugugu Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chadema imejitoa wewe
   
Loading...