Sitta: Bunge lijalo linatisha ,Asema limesheheni watu makini
Bungelijalo ninavyoliona mimi, litakuwa Bunge la kutisha, maana lina vijana na watumachachari, ukisoma majina yao utaona kabisa kwamba...
wakati wa kampeni za ARUMERU, lusinde alitoa maneno makali sana, lakini mimi baada ya kusikiliza na kutafakari nimegundua kuna point ya msingi pale iliyokuepo! JE NI VIBAYA au DHAMBI kwa mtoto...
si mda uchaguzi utaanza,kwa sasa spika makinda anasoma kanuni na sheria zilizounda bunge hilo na haki ya bunge letu kuchagua watanzania kutuwakilisha afrika mash.
spika amekataa mwongozo wa...
Kwa jinsi nilivyoaangalia kipindi cha wabunge kuchangia jana taarifa za fedha za mashirika ya umma, kwa michango waliyotoa wabunge bila kujali itikadi za vyama vyao, CDM mna kila sababu ya...
Katika hali ambayo haikutarajiwa wanawake ambao siku zote wamekuwa wakipokea kanga na kofia kipindi hiki wamegoma na kusema hawatachukua kanga wala kofia na kuamua kuanza kuvaa mavazi yenye rangi...
Kama Arusha ni kutokana na Sioi na uhusiano na Lowassa, Je udiwani: Kirumba, Kiwira, Songea na Tanga ni uhusiano na nani?
Nadhani tafakari inatakiwa kufanyika na isiwe ya kinafiki bali iainishe...
NDUGU ZANGU WATZ,HAWA WABUNGE WA CCM WAMETUGEUZA MANDONDOCHA WANASIMAMA BI
LA AIBU NA KUKAZA MISULI YA SHINGO ILI TUWAONE NI WAKOMBOZI WETU.
TUJIULIZE KAMATI ZA BUNGE ZIPO NGAPI?JE HIZI TATU...
The Parliamentary Parastatal Organisations Accounts Committee (POAC) has found massive deficiencies in the leasing of the national ATCLs Air bus that is going to detriment the government heavily...
Jana tulishuhudia makelele mengi kutoka kwa wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma unaofanywa na serikali ya CCM. Kwa wabunge wa upinzani sina neno la kusema...
haya ndio wanayosema wazanzibari, kwa kweli ni maneno mazito na yenye ukweli wa kutosha kwa ndugu yetu hyu na baadhi ya wachache wenziwe
MUHESHIMIWA JUSSA SIASA ZAKO ZIMEPITWA NA WAKATI...
Mi nifuatilia kwa mda mrefu hoja mbalimbali ndani ya bunge,wabunge waliowengi wanalalamika mno,hasa ktk kuchangia,angali wanauwezo wa kuiwajibisha govt,na ndio kazi yao kubwa.je wameshndwa...
Haya ni baadhi ya makampuni ya Congo DRC , yanayofanya utapeli kwa wageni wanaokuja kununua madini aina ya Gold, Copper cathodes,Tantalite na diamonds hapa nchini.
Kwa kipindi kirefu sasa...
*Bandari watumbua zaidi ya bilioni 1.5, waendesha miradi hewa
*Mabosi wanachomeka watumishi hewa, wanavuta mishahara
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick...
Kuna habari kwamba baadhi ya wenyeviti wa UVCCM kutoka baadhi ya wilaya za mkoa wa Arusha nao wanatarajiwa kuhamia CHADEMA pamoja na Millya siku chache zijazo.
Makundi ya vijana mjini hapa...
Wadau tutupie machi kauli ya rais wetu msikivu, hata kama hayupo bongo lakini anafuatilia kwa ukaribu yanayoendelea.
MSUGUANO kati ya Bunge na vyombo vya habari kwa upande mmoja na Serikali...
Wafanyabiashara wa kariakoo walio wengi wanatumia usafiri wa makontena kwa mizigo yao, nadhani ni sahihi kwa magari makubwa ya kontena kuzuiliwa kuingia katikati ya jiji sababu ya msongamano...
jamani wadau, nimetafakari vya kutosha kufuatia wimbi kubwa la mageuzi linalovuma hapa nchini ambapo kila sehemu wana kiu kubwa ya mabadiliko, yaani inapotokea sehemu fulani labda kuna uchaguzi...
Mukama: Tutajua cha kufanya
Akizungumzia suala hilo jana, Mukama alisema hakuwa amepata taarifa hizo, lakini akasisitiza kwamba endapo itatokea, chama kitajua cha kufanya. Hatujapata taarifa za...