Ni Maneno ya Sitta yanatimia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Maneno ya Sitta yanatimia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by long'oi, Apr 19, 2012.

 1. l

  long'oi Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sitta: Bunge lijalo linatisha ,Asema limesheheni watu makini
  “Bungelijalo ninavyoliona mimi, litakuwa Bunge la kutisha, maana lina vijana na watumachachari, ukisoma majina yao utaona kabisa kwamba ni watu makini na nitishio, hivyo natamani kuwa spika wa Bunge hilo ili nikabiliane na changamotozitakazojitokeza,”

   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh kumbe mzee 6 alitamani kufika nchi ya asali na maziwa lakini akaishia milima ya mizeituni!
   
 3. v

  victor11 Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Bado tunamhitaji Mh. Sita kuwa spika.
   
 4. k

  kubane Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  of ol th magamba t list huyu huwa anaakili.
   
 5. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila sita noma aisee.... Mawaziri ambao walishindwa kujibu majibu sawasawa aliwakomalia. Hata juzi naona aliingilia kati ili jibu la Zitto litolewe majibu yanayoridhisha
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ndoto ya Urais kaachana nayo mbona tunamrudisha tena kwenye uspika?
   
 7. i

  israel s. malekela New Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee kama hawa ni hazina lakini aachane na rangi ya kijani na njano
   
 8. S

  Skype JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Lakini si ndiye huyuhuyu 6 aliyefunga mjadala wa richmond kwa nguvu ama nimemfananisha?
   
 9. S

  Skype JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Akili sawa anazo tena ana uwezo mkubwa wa kuongoza bunge lakini sidhani kama watanzania walitendewa haki kwa kuitetea serikali pale alipozima mjadala wa richmond.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sitta ni mnafiki sana...
   
Loading...