Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
si mda uchaguzi utaanza,kwa sasa spika makinda anasoma kanuni na sheria zilizounda bunge hilo na haki ya bunge letu kuchagua watanzania kutuwakilisha afrika mash.
spika amekataa mwongozo wa mbunge aliekuwa anataka kuomba kwake.
tufuatilie
my take;haki itendeke
Matokeo:
spika amekataa mwongozo wa mbunge aliekuwa anataka kuomba kwake.
tufuatilie
my take;haki itendeke
Baada ya jana usiku CCM kukutana na kutazama kimakini juu ya uamuzi wa CHADEMA kutokushiriki kwenye uchaguzi wa bunge la Afrika Mashariki , wameamua kutoa nafasi mbili kwa upinzani dai ambalo lilikuwa miongoni mwa madai ya msingi kabisa ya CHADEMA kushiriki ama kutokushiriki.
Baada ya CCM kusalimu amri wabunge wa CHADEMA watashiriki kwenye uchaguzi huu na ndio unaendelea kwa spika kutoa maelekezo mbalimbali.
Nawasilisha.
Matokeo:
TZ Bara: Kimbisa, Adam Omar na Morunya, na Charles Makongoro Nyerere
Zanzibar: Mwinyi Abdula na Yahaya Mariam Ussi
Upinzani: Kessy Nderakindo na Taslim Twaha Issa
Kizigha
Shyrose
Mwinyi
Yahya Ussi
Taslimu
Kessy
kimbisa
murunya
makongoro