Katiba mpya na maboresho ya daftari la kura ni mazishi ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya na maboresho ya daftari la kura ni mazishi ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mfereji maringo, Apr 19, 2012.

 1. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  jamani wadau, nimetafakari vya kutosha kufuatia wimbi kubwa la mageuzi linalovuma hapa nchini ambapo kila sehemu wana kiu kubwa ya mabadiliko, yaani inapotokea sehemu fulani labda kuna uchaguzi mdogo, basi kila mtu anatamani huo uchaguzi ungefanyika ktk jimbo lake ili apate fursa ya kuonyesha hasira zake kwa hiki kikundi kinachojiita ccm, sasa imedhihirika kuwa ccm imekuwa ikitumia udhaifu wa kikatiba kama kuwa na mwenyekiti wa tume anaeteuliwa na mwenyetiti wa ccm, na pia kwa kutumia orodha ya zamani ya
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Za mwizi ni arobaini. Ccm wamefikia 39.9 na nusu.
   
 3. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 886
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Off course katiba ya sasa ni ya kuwezesha CCM kutawala milele
   
Loading...