Mukama na fikra mgando: "tutajua cha kufanya" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mukama na fikra mgando: "tutajua cha kufanya"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bhikola, Apr 19, 2012.

 1. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Mukama: Tutajua cha kufanya

  Akizungumzia suala hilo jana, Mukama alisema hakuwa amepata taarifa hizo, lakini akasisitiza kwamba endapo itatokea, chama kitajua cha kufanya. “Hatujapata taarifa za wenyeviti wengine kujiondoa lakini, tukizipata tutajua tutafanya. Sasa hivi nipo katika kikao cha sekretarieti,” alisema na kukata simu. (Mwananchi, April 17,2012)

  hawa ndiyo viongozi wakuu, wanaopaswa kumshauri Rais. lakini wanasubiri yatokee ndipo wajue cha kufanya. wamesahau kama usipoziba ufa ............ mwizi atachungulia ndani
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nobody is PROACTIVE in entire CCM, that's why this country is very poor. Mzee wa watu alishajimalizia utumishi wa umma ili apumzike wao wameingia mkenge na kumpa majukumu zaidi, sasa inakula kwao. Eti Mukama naye ni Katibu mkuu kama alivyo Dr Slaa ambaye kila siku yuko front kuongoza mapambano
   
 3. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heeee......Hivi katibu mkuu wa Magamba ni Mkama???? Huyu Wilson Mkama???? Hata sikuwahi kujua...ameukwaa lini ukatibu mkuuu??? My God....kweli...Mungu mkubwa tena anajua namna ya kufanya ili CCM ife.......

  Magamba hayooooooooooo...hadi 2015, atabaki rais mwenyewe, pengine hata yeye atajiunga na M4C ili amalizie muda wake, maana vinginevyooo People's Power haitamuacha salama.....Mkama oyeeeeeeeee.......Kwa kuua ccm oyeeeeeeeeee...na oye mwenyewe oyeeeee....!!!!
   
Loading...