Diwani wa sombechini aachana na CCM na kuhamia CDM leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa sombechini aachana na CCM na kuhamia CDM leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eberhard, Apr 18, 2012.

 1. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Niaje kaka , breaking news, Diwani wa sombetin amejiuzuru udiwani na kujiunga na CHADEMA, Duh kunanai CCM arusha?
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  persistance!persistance!persistance!
  Chadema endeleeni kuhamasisha wananchi.
   
 3. m

  maramojatu Senior Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo mbona inajulikana muda mrefu sana? Tuambie viongozi wengine walio-defect nichome kilo moja sasa hivi hapa kwa mromboo!
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu ulikuwa umelala, hiyo habari toka saa tatu asubuhi!!!!!
   
 5. Dp800

  Dp800 Senior Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm mr Alfred mawazo amehamia chadema baada ya muamko wa nguvu ya uma kumshinda source-star tv
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kuanzisha uzi pitia pitia nyuzi nyingine vinginevyo unaweza kuwa kichekesho mkuu. Siyo ukiangalia ITV au TBC1 unakurupuka kuanzisha uzi ambao upo toka asubuhi.
   
 7. under_score

  under_score Senior Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu, hii habari imeshajadiliwa sana tayari hapa JF, sio mbaya lakini, pengine hukuwa na access na mtandao kwa sababu yoyote ile ...
   
 8. m

  mzaire JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vyema kuisisitiza ili magamba wapate uchungu zaidi.
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  alikuwa manta,sio saa 3 mkuu,lema kanitext saa 12asbh
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kwahiyo madiwani waangapi wameachia ngazi?
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Afu iyo kata ndo alisteap aside musa mkanga yule mchawi alomfungulia kesi bw lema
   
 12. k

  kiruavunjo Senior Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kichini chama cha wala kwa meno! Jirani yangu domo kaya.
   
Loading...