Wabunge ccm acheni kutuchezea watanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge ccm acheni kutuchezea watanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ringo Edmund, Apr 19, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  NDUGU ZANGU WATZ,HAWA WABUNGE WA CCM WAMETUGEUZA MANDONDOCHA WANASIMAMA BI
  LA AIBU NA KUKAZA MISULI YA SHINGO ILI TUWAONE NI WAKOMBOZI WETU.
  TUJIULIZE KAMATI ZA BUNGE ZIPO NGAPI?JE HIZI TATU ZINAONGOZWA NA WAPINZANI JE ZINAZOONGOZWA NA WABUNGE WA CCM ZIPO WAPI?KILA SIKU TUNAWAAMBIA KUWA CCM IMEOZA KUANZIA JUU MPAKA CHINI HAITIBIKI TENA.
  HIVYO VIKAO WANAVYOKAA KAMA WABUNGE WA CCM NDIVYO VILIVYOLIFIKISHA TAIFA HAPA,WATANZANIA HATUKUWACHAGUA MKAKAE COUCAUS WALA COFFEES TUMEWATUMA BUNGENI TUNAWALIPA KODI ZETU TUNAOMBA MKAE HAPO HAPO BUNGENI NA KUTOA MAAMUZI NA SISI TUKISHUHUDIA,HUKO MNAKOENDA KUKAA KWA SIRI NDIPO MNAPOPEANA RUSHWA NA KUTOKA NA MAAMUZI MABOVU AMBAYO SASA YAMEKUWA SERA YENU.

  ombi langu.
  NAWAOMBA ZAMBI,FILIKUNJOMBE,BULAYA,LUGORA,KESSY NA WENGINEO MNAOJUA KUWA CCM IMEOZA NA 2015 HAITARUDI BUNGENI MUHAMIE KAMBI YA UPINZANI ILI KULIOKOA TAIFA.
  PONGEZI KWA ZITTO,MREMA NA CHEYO KWA KAZI KUBWA MLIYOIFANYA NA TUNAWAPA MOYO MKUU KUWA HAMTASHINDWA KAMWE MAANA MUNGU NA SISI TUPO UPANDE WENU.

  wanajf naombeni mnipe idadi ya kamati za bunge zinazoongozwa na ccm na kazi zilizozifanya mpaka sasa.

  NAWAKILISHA.
   
Loading...