Wabunge achane kulalamika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge achane kulalamika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.kibulala, Apr 19, 2012.

 1. M

  Mr.kibulala Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nifuatilia kwa mda mrefu hoja mbalimbali ndani ya bunge,wabunge waliowengi wanalalamika mno,hasa ktk kuchangia,angali wanauwezo wa kuiwajibisha govt,na ndio kazi yao kubwa.je wameshndwa kuisimamia?je na wao wanakula nao,napata hasira na kwann wananchi tusiwaajibishe wao?
   
Loading...