CCM ijifunze kutokana na matokeo ya chaguzi ndogo za Arumeru, Kirumba, Kiwira, Songea na Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ijifunze kutokana na matokeo ya chaguzi ndogo za Arumeru, Kirumba, Kiwira, Songea na Tanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nanu, Apr 19, 2012.

 1. N

  Nanu JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama Arusha ni kutokana na Sioi na uhusiano na Lowassa, Je udiwani: Kirumba, Kiwira, Songea na Tanga ni uhusiano na nani?
  Nadhani tafakari inatakiwa kufanyika na isiwe ya kinafiki bali iainishe nyufa zote zilizopo na pia ije na majawabu ya jinsi ya kujenga madaraja na siyo kuta.
  Panapofuka Moshi.........
   
 2. w

  wakijiwe Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napata kigugumizi kwa kulaumu waliofanya kampeni arumeru kuwa chanzo cha kuanguka kwa ccm, anguko la ccm huko arumeru ni la wote wanaccm kwa namna chama chao kilivokosa muelekeo, mtizamo na muonekano mbele ya wananchi. wana tofauti nyingi wao kwa wao na kunakosa chain of command baina ya viongozi hali inayowakatisha tamaa wananchi, na hili ndilo linaiyumbisha serikali yetu......
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  acheni kuingilia habari ya chama chetu wenyewe wenye chama tumechoka na tunataka tugawane kila tulichonacho!
   
 4. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  CCM ni mabingwa wa kutafuta sababu ili wananchi waendelee kuridhika tu. Imeshafilisika ile zamani
   
Loading...