Katika hali ambayo haikutarajiwa wanawake ambao siku zote wamekuwa wakipokea kanga na kofia kipindi hiki wamegoma na kusema hawatachukua kanga wala kofia na kuamua kuanza kuvaa mavazi yenye rangi za chadema,scarf za chadema na wamenda mbali hata rangi za kupaka kucha zao pia ni rangi ya chadema full.Wanasema hii ni Arusha hakuna kurudi nyuma hata kidogo mpaka kieleweke.