Mbunge na madiwani wa Kariakoo tunaomba ufafanuzi kuhusu hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge na madiwani wa Kariakoo tunaomba ufafanuzi kuhusu hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speculator, Apr 17, 2012.

 1. S

  Speculator Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wafanyabiashara wa kariakoo walio wengi wanatumia usafiri wa makontena kwa mizigo yao, nadhani ni sahihi kwa magari makubwa ya kontena kuzuiliwa kuingia katikati ya jiji sababu ya msongamano mabarabarani wakati wa mchana, wakapewa muda wa kushusha mizigo uwe usiku wakati ambao hakuna msongamano kabisa au kulipia ushuru(gharama za ziada) manispaa ili aweze kuruhusiwa kushusha mchana.(Tatizo letu ni usiku tu).

  Swali letu na hasa chakushangaza tunaposhusha mizigo usiku bado watu wanajitokeza wa kila aina (manispaa,mgambo, polisi,TRA n.k) vitisho kibao ? Hamruhusi ? ni makosa ? kulipiswa faini ?

  Je ni wakati gani muafaka na halali wa kushusha mizigo ya biashara ?
  Je ushuru tunaopaswa kulipa ni kwa ajili gani ? usiku au mchana ?
  Je ni kweli kuwa hakuna haki nchi hii kwa wafanyabiashara ? kwanini munawatoza mikodi kibao ?

  Tukizingatia kuwa hizo ndizo shughuli za kiuchumi zinazowezesha serikali na wanachi wake kwani tunalipa kodi zote za TRA, Manispaa,n.k Halali kabisa toka huko nje hatupati shida hadi nyumba ndio taabu nyingi sana , rushwa nyingi , kila mtu mkubwa..
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  diwani wa k'koo ni wa CUF sio?
   
 3. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 491
  Trophy Points: 180
  Hilo ni suala la kumtaarifu huyu mstahiki Meya Jerry silaa aweze kupanga utaratibu!! sio huyu dogo alilie Kodi za Mabango Tuu!! Pia ajue kuongoza kunahitaji kutumia akili pia na kuplan!!
   
 4. S

  Speculator Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa ushauri wako
   
Loading...