Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa CCM ametoa kauli dhidi ya Serikali yake kwamba "KOSA KUBWA AMBALO SERIKALI WANAFANYA NI KUDHANI KWAMBA TANZANIA NI MALI YA CCM!"
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Endeleza 17 Aprili-Milya 18 Aprili-Mawazo 19 Aprili-Mwagao 20 Aprili-M 21 Aprili-M 22 Aprili-M
2 Reactions
27 Replies
3K Views
http://youtu.be/APKDf5SZAX8 Mbunge mtarajiwa wa Iramba magharibi Kitila Mkumbo yupo studio ITV saa hii pongezi kwa kuelimisha jamii
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Naamini CDM ina viongozi makini kumhandle Millya akianza mapepe yake. Kama wameweza kum contain ZK na SM nini Millya bwana..... Viongozi na wanachama wa CDM waliokuwa wanatumika na EL wana hofu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe amewataka wananchi kuishinikiza serikali ya CCM kuchukua hatua za kuwawajibisha viongozi wake wanaoitia hasara nchi. Ameyasema hayo wakati wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pamoja na maneno makali ya MPs, lkn Hakuna jipya kwa tz ya Leo, Pinda ni kati ya Wanasiasa wanaoweza kuzima hoja ngumu na nzito Kama hizi zilizoko bungeni muda huu...jikumbushe juu ya mahakama ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
:embarrassed: Kuna msafala mkubwa sana wa kenge ambao ndani mwake kuna mamba! tahadhari yangu kwa CHADEMA kufumba macho ni kuandaa kaburi, mwenyekiti kuwa tayari kuwapokea wanachama hao wageni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Juzi wakati natazama taarifa ya habari, kabla ya Rais watu kuonyeshwa akihutubia, alionyeshwa mama Clinton akihutubia baadaye akaonyeshwa raisi wetu. Hivi kweli safari hile ilikuwa ni lazima rais...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuhusu magari ya Serikali, Cheyo(Mwenyekiti PAC) alisema kumekuwa na matumizi yasiyo ya lazima katika uendeshaji na ukarabati wa magari hayo. Hadi Juni 30, 2010 Serikali ilikuwa inamiliki magari...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Kufutia alichokieleza Malecela. Tinka Taylor anasema; " Inaonekana huyu yuko out of touch na maendeleo ya dunia Hoja zake kubwa ni hizi: Anasema hakuna haraka ya kujiunga na Federation kwa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Akihojiwa na capital Radio Godless lema amesema kuna wenyeviti wa vitogoji 16 hapa mjini Arusha wanamsubili ali warudishe kadi za CCM kujiunga na chadema. Tanzania tujiandae kwa chaguzi mbali...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani wabunge wa ccm wamekimbia bungeni jioni hii eti wapo kenye kikao!!!!!!!!!!!!! Peoples.............................................................................
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kama wabunge wa ccm wenyewe wanakiri wazi kuwa 2015 uwezekano wa kushinda ni mdogo.kwa nini? Sisi wapiga kura hatutaki kuamini ukweli huu,wabunge wanaogopa kupiga kura ya kukosa imani na serikali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
serikali ya Swaziland imeishiwa pesa. Mkulu wao sasa anaomba Waswazi wamchangie ale bata kwenye "besidei" yake. Kikwete nae si alitumia 50 Bilions kutumbua miaka 50 ya uhuru? Gonga hapa ujisomee...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Thu, Apr 19th, 2012 Tanzania | Thursday, April 19th 2012 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mr Freeman Mbowe The ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM) has continued suffering...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali ya CCM na wabunge wake wamekimbia bunge jioni hii. Kuna mawaziri 3 na wabunge wasiozidi 10 wa CCM. Eti wanakikao cha kuwekana sawa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wananchi; Mimi napenda kutoa mapendekezo yangu kwa tume ya Katiba Mpya ili kuweza kuona namna gani ya kuyafanyia kazi. Nafanya hivi kwasababu kwasasa nipo nje ya nchi na mimi kama Mtanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bungeni wapo wabunge wa upinzani na mawaziri wanne. Lukivu, mwanri, mkuchika na AG. Wengine wapo kwenye kikao cha dharura kuzibwa midomo yao. JE TUTAFIKA?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hao watu wanao ingia ktk chama kwa tiketi ya kujivua gamba, muwaangalie kwa macho mawili, wasije wakawa pandikizi kuja kutuvurugia mbio zetu za ukombozi! Mskirupuke kuwapa uongozi, mafisadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Namshangaa sana Nape kwa kutokusoma alama za nyakatati aangalie Arusha/Monduli na hata Mwanza asijipe moyo wakati chama kinakufa awaangalie kina Gadafi/Ben/Sadaam na wengine wengi waliwatukana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…