Serikali na wabunge wa CCM wakimbia Bunge

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
Serikali ya CCM na wabunge wake wamekimbia bunge jioni hii. Kuna mawaziri 3 na wabunge wasiozidi 10 wa CCM. Eti wanakikao cha kuwekana sawa.
 
Lakini wanalipwa kuhudhuria vikao vya bunge sio kufanya vikao vya chama. Huu ni upuuzi mwingine kupoteza rasilimali za taifa kwa kujali chama
 
Back
Top Bottom