Mbunge: TZ sio Mali ya CCM

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Mbunge wa CCM ametoa kauli dhidi ya Serikali yake kwamba "KOSA KUBWA AMBALO SERIKALI WANAFANYA NI KUDHANI KWAMBA TANZANIA NI MALI YA CCM!"
 
hii ni dalili ya

1.baadhi ya wana ccm wanaanza kuona nuru/ukweli na kuukataa uongo hadharani

2. huu ni mchakato wa kufikia maamuzi ambayo hata jk,ccm na serikali yake wanaweza wakashangaa

mwanadamu hudanganywa mara moja lakini akiujua ukweli huwezi kumdanganya tena
 
Hii kauli haina jipya lolote...sote tunajua kuwa hii ni nchi yetu sote isipokuwa wana CCM.anachofanya ni kuwakumbusha tu walevi wa madaraka wa CCM.
Nadhani mahali muafaka kutoa kauli hii ni vikao vya CCM.
 
Back
Top Bottom