kweli hizi ni nyakati za mwisho za ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kweli hizi ni nyakati za mwisho za ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Apr 19, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kama wabunge wa ccm wenyewe wanakiri wazi kuwa 2015 uwezekano wa kushinda ni mdogo.kwa nini? Sisi wapiga kura hatutaki kuamini ukweli huu,wabunge wanaogopa kupiga kura ya kukosa imani na serikali kwa kuhofia ulaji wao,sasa kazi tunayo sisi wapiga kura 2015.tusifanye makosa tena
   
 2. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  kaka mambo yamekuwa magumu, tabu ni kwamba baadhi ya wazee pamoja na vijana wasiopenda kujishughulisha ndio wana mawazo mgando, mabadiliko yako njiani ila kinachoniuma ni gharama zitakazotumika hivi karibuni kutokana na baadhi ya madiwani kuhama vyama.
   
 3. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jambo jema lina gharama zake
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Funguka mzee wa NCCR
   
 5. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hure hure............nyumba ya magamba imeshashika moto........acha iangamizwe kabisa
   
Loading...