Serikali ya JK inamiliki magari worth 5 trillion!

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Kuhusu magari ya Serikali, Cheyo(Mwenyekiti PAC) alisema kumekuwa na matumizi yasiyo ya lazima katika uendeshaji na ukarabati wa magari hayo. Hadi Juni 30, 2010 Serikali ilikuwa inamiliki magari yenye thamani ya Sh5 trilioni.
Source:http://www.mwananchi.co.tz/componen...ory/22166-ufisadi-wa-mabilioni-kila-kona.html
MY TAKE
Yaani wanamiliki magari ambayo ni almost nusu ya bajeti ya nchi,no wonder wataendelea kununua meanwhile dawa,madawati kwetu bado ni issue!
Unaitaji kuwa na kichwa cha mwendawazimu kumiliki such a fleet in a poor nation like Tz
 
Hii ni nchi yangu Tanzania, eti mkuu wa idara anaendeshwa kwenye gali la Million200, ilihali mwenzake wa Japani yupo kwenye Suzuki
 
RPC wote wana mav8 landcruiser wakati hawa ni wazee wa defender tuu as huwezi enda kwa tukio la fujo na v8.
So kwa hao ilo gari ni anasa kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Dadeki!!...

Nchi hiii mbona inanitoa machozi?

Wakurugenzi wa halamashauri zote eti wananunuliwa kila mmoja ananunuliwa gari ya milioni 150 - 200!!
 
Kama magari yana dhamani iyo sasa bajeti ya mafuta na service itakuwaje?
 
RPC wote wana mav8 landcruiser wakati hawa ni wazee wa defender tuu as huwezi enda kwa tukio la fujo na v8.
So kwa hao ilo gari ni anasa kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kwani wao hawana haki, kila mkubwa anapewa V8, polisi pia anataka starehe/anasa.
 
Haya sasa, hili swala Mbowe alishalipigia kelele watu wakamuona mwendawazimu. Waziri Mkuu Pinda alijidai kulivalia njuga na kulitolea matamshi, lakini sasa kimyaaa huku kodi zetu zikiendelea kutumiwa ndivyosivyo. Halafu wakiulizwa kwanini sisi tu maskini, huwa wanajibu la papo kwa papo "HATUFAHAMU"
 
Kuhusu magari ya Serikali, Cheyo(Mwenyekiti PAC) alisema kumekuwa na matumizi yasiyo ya lazima katika uendeshaji na ukarabati wa magari hayo. Hadi Juni 30, 2010 Serikali ilikuwa inamiliki magari yenye thamani ya Sh5 trilioni.
Source:http://www.mwananchi.co.tz/componen...ory/22166-ufisadi-wa-mabilioni-kila-kona.html
MY TAKE
Yaani wanamiliki magari ambayo ni almost nusu ya bajeti ya nchi,no wonder wataendelea kununua meanwhile dawa,madawati kwetu bado ni issue!
Unaitaji kuwa na kichwa cha mwendawazimu kumiliki such a fleet in a poor nation like Tz
mkuu kumbuka kuwa unavyoongea sasa Mh. Mkullo yupo Washington DC kutengeneza budget hicho kikiwa kielelezo tosha kuwa wahisani wanafadhili >+50% ya budget yote!!

Alafu hawa jamaa kama alivyosema jana Mh. Kafulila na Joshua Nassari, wana-inflate gharama za magari hayo kana kwamba Land Cruiser Mikonga na Land Rovers hawazioni.

Watanzania tukishindwa kurespond kipind hiki kwa kufanya maamuzi magumu kama akina Ole Millya, hatutakaa na kupata nafasi hii tena katika historia ya dunia.

Naomba niulize swali kidogo hivi ipi ni core b'ness au mission ya serikali yetu? Je,ni utoaji wa usafiri kwa viongozi wa serikali na watendaji mbalimbali au kusimamia rasilimali za taifa ili kumletea maendeleo mtanzania wa kawaida?
5 trillion Tshs. worth of automobiles!!! Is this a government or Yellow Cabs?
 
Wana JF. Nakumbuka zamani kwenye miaka ya 80 kuna mbunge mmoja alisema kwamba; Nanukuu , Wajukuu zetu watakuja kutufukua kwenye makaburi yetu na kupima vichwa vyetu kwamba kulikuwa na tatizo gani mpaka tunaruhusi upuzi huu kwa sababu mambo tunayofanya ni ya kiwendawazimu. mwisho wa kunukuu. Hii ndiyo serikali yetu inabidi ikapimwe akili mara moja otherwiise inatuangamiza.
 
Kenya waziri anatembelea VW Passat 1.8. Ni gari nzuri na yenye gharama nafuu. Sisi mkue wa wilaya anatembele Land Cruiser VX V8!!! Unaweza ukaona tofauti kati ua umakini na kufikiria matanuzi!!

I am so gutted!!
 
Wana JF. Nakumbuka zamani kwenye miaka ya 80 kuna mbunge mmoja alisema kwamba; Nanukuu , Wajukuu zetu watakuja kutufukua kwenye makaburi yetu na kupima vichwa vyetu kwamba kulikuwa na tatizo gani mpaka tunaruhusi upuzi huu kwa sababu mambo tunayofanya ni ya kiwendawazimu. mwisho wa kunukuu. Hii ndiyo serikali yetu inabidi ikapimwe akili mara moja otherwiise inatuangamiza.

Nafikiri alikuwa Mbunge mzee mmoja toka Bukoba na alifariki kwa basi akielekea Dodoma au Dar vile? pia alishawahi kusema akili za wabunge ni kama kuku kwani kuku hunyea kwenye banda wanaloishi asubuhi wanatoka halafu usiku ukiingia wanarudi kulekule walikonyea,...hapo aliwagusa CCM kwani kidogo wampige ban ila alifuta usemi wake (Nikumbusheni jina tafadhali)
 
kuna waziri mmoja wa zaman aliwai kuyatetea kwa nguvu zote mashangingi kwamba ndo ya hadhi yao, wananchi jimbon wakamtosa, hivi sasa namwona na ka-mark 2, tena ata a/c hawashi.
 
Back
Top Bottom