Wingu zito chadema mbeleni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wingu zito chadema mbeleni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mbung'o muba, Apr 19, 2012.

 1. m

  mbung'o muba Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :embarrassed: Kuna msafala mkubwa sana wa kenge ambao ndani mwake kuna mamba! tahadhari yangu kwa CHADEMA kufumba macho ni kuandaa kaburi, mwenyekiti kuwa tayari kuwapokea wanachama hao wageni wanaojivua magamba lakini uchunguzi wa kina ufanyike kabla hawajakabidhiwa madaraka. Nguvu ya umma iamue..............usafi wao uchunguzwe..........malengo yao yachunguzwe.............
   
 2. d

  dguyana JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi hakuna atakaekubali kutumika na Magamba labda we na akili za maiti. We unajua sukari kilo shilingi ngapi? Na umesikia riport za kamat za bunge?
   
 3. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wakija si wanakuwa wanachama wa kawaida,tutawajuwa tutakapoona wanataka nini.......
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hata mataahira waliokuwepo ccm waingie CDM iwapokee .... nipo tayari kugharamia matibabu yao hospitali ya Mirembe ili tupate kura zao 2015
   
 5. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo wazo lako ni kuwa wakataliwe? Hapana mbona hata muda huu wako walio watukutu! Suala ni kutokuwapa madrk mapema
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tusimbague mtu yoyote lete anafaa, hata wagonjwa leteni
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  WaTZ wamebadilika, siyo wale wa 95... Wanaofanya mabadiliko ni Wananchi.. Mfano mzuri ni shibuda kama utasikia anaendele na mzaha wake subiri bajeti inayokuja kama ataongea kama iliyopita.

  Sasa hivi wanaoendesha harakati za mageuzi ni wananchi na si viongozi wanaohama kutoka CCM kwenda CDM.
   
 8. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nani kasema watapewa madaraka ndani ya chama kwa ghafla bila kuchunguzwa na kufundwa? Lakin kama wananchi wakitaka kuwapa kazi nje ya chama ili wawatumikie mimi sioni tatizo
   
 9. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata lowasa akija tunapokea tu we vipi?? ndiyo toba yenyewe hiyo! Nyooooooooooooooote karibuni kwa bwana mtubie basiiiiiiiiiiiii
   
 10. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Its a means to an end..., kama hao kenge wakisaidia kumwondoa mjusi (CCM), who cares.., after all sisi ambao hatuamini vyama (bali upinzani) tunafurahia kifo cha CCM ambacho kitaleta upinzani wa kweli
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  " that is fear for unknown !!!"
   
 12. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  well said.
   
 13. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  CDM ina viongozi makini.
  Pia, magamba wakitubu na kujuta, tuwasemehe.
   
 14. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sawa Comrade good wote tutawascan kabla then tutawafungua
   
 15. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  siku utasikia kauli kama hizi tena nimegundua chadema ni chama cha kikabila na kidini nimeamua kurudi tena ccm!
   
 16. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  pia naunga mkono hoja,ila cdm inapaswa kuwa na maamuzi ya kidikteta ili kudumisha chama,yawezekana wakaja wengi,wakatumia hoja ya uhuru wa maoni wakajenga hoja ya kuwaondoa viongozi wakuu wa cdm waliotufikisha apa ili wakaud chama,nashauri kamati kuu ijiandae kuwa na maamuzi magumu kwa akina shibuda wapya wajao. Ila tunamkaribisha kila mtu ata J K aje ila wote wajiandae kunyooshwa! karibu wote mtakaswe tujenge nchi!
   
 17. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  pia naunga mkono hoja,ila cdm inapaswa kuwa na maamuzi ya kidikteta ili kudumisha chama,yawezekana wakaja wengi,wakatumia hoja ya uhuru wa maoni wakajenga hoja ya kuwaondoa viongozi wakuu wa cdm waliotufikisha apa ili wakaue chama,nashauri kamati kuu ijiandae kuwa na maamuzi magumu kwa akina shibuda wapya wajao. Ila tunamkaribisha kila mtu ata J K aje ila wote wajiandae kunyooshwa! karibu wote mtakaswe tujenge nchi!
   
 18. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Acha woga wewe! Hivi wewe biashara yako ikichanganya utawakataa wateja wanapoongezeka? Wakidoda? Mwanadamu hata ukimpa nini milele hataridhika.
   
Loading...