KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 537
Juzi wakati natazama taarifa ya habari, kabla ya Rais watu kuonyeshwa akihutubia, alionyeshwa mama Clinton akihutubia baadaye akaonyeshwa raisi wetu. Hivi kweli safari hile ilikuwa ni lazima rais wetu aende na kusema alichokuwa anakisema na sisi tungemtuma Membe ili akamwakilishe rais wetu kama Marekani walivyofanya? Kwa kweli inasikitisha kuona rais wetu akihudhulia mikutano ya nje mara kwa mara wakati hakuna ulazima wa kwenda yeye mwenyewe. Au nyumbani hapakaliki na hakuna cha kufanya?