Ushauri mwepesi kwa CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri mwepesi kwa CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NATA, Apr 19, 2012.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hao watu wanao ingia ktk chama kwa tiketi ya kujivua gamba,
  muwaangalie kwa macho mawili, wasije wakawa pandikizi kuja kutuvurugia mbio zetu za ukombozi!

  Mskirupuke kuwapa uongozi, mafisadi wananguvu sana chini ya anga wakishindwa huku wanaingia mlango mwingine.

  Na fisadi atafanya lolote ili interest zake zifanikiwe.
   
 2. N

  Ngoksi Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapokee vjana ila cyo lowasa type
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Vijana wakiwa ni wamafisadi je?
   
Loading...